Majaliwa avalia njuga maandalizi Chan Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amezitaka mamlaka zenye dhamana nchini kuharakisha maandalizi ya Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wanaocheza Ligi za...
Sasa ni rasmi, Simba Vs Al Masry kupigwa Kwa Mkapa Simba imekuwa na historia ya kutamba katika Uwanja wa Benjamin Mkapa katika miaka ya hivi karibuni pindi inapokuwa inashiriki mashindano ya klabu Afrika.
Ngorongoro Heroes yapelekwa Misri kusaka Sh529 milioni Katika fainali za AFCON U20 mwaka huu, Ngorongoro Heroes imepangwa kwenye kundi A na timu za DR Congo, Jamhuri ya Afrika ya Kati na Ghana.
AKILI ZA KIJIWENI: Singida Black Stars sasa iwakumbuke wa nyumbani KIJIWE kinatoa hongera nyingi kwa Chui wa Singida, Singida Black Stars kwa kujenga uwanja mzuri wa nyasi bandia ambao utatumiwa na kikosi cha timu hiyo kwa mazoezi na hata mechi.
AKILI ZA KIJIWENI: Simlaumu yeyote matokeo ya Taifa Stars WATU wengi tunatamani kuona siku moja wimbo wa taifa la Tanzania unaimbwa huku bendera yetu ikipepea kwenye Fainali za Kombe la Dunia ambayo ndiyo mashindano makubwa ya soka ulimwenguni.
Hesabu nne za Taifa Stars dhidi ya Morocco zikikutana usiku mnene Katika mchezo huo ambao unachezwa kwenye mji wa Oujda, Taifa Stars ina hesabu nne mkononi ambazo inapaswa kuzitimiza kwa ushindi dhidi ya Morocco.
Stars ikifa Morocco tukutane 2030 TIMU ya taifa ya soka ya Tanzania, Taifa Stars inakabiliwa na mechi ngumu ya ugenini dhidi ya Morocco kuazia saa 6:30 usiku wa kuamkia kesho Jumatano ambao ni wa Kundi E kuwania kufuzu ushiriki...
Bondia Foreman afariki dunia akiacha historia Bondia Mstaafu George Foreman amefariki dunia jana Ijumaa, Machi 21, 2025 akiwa na umri wa miaka 76, familia yake imethibitisha.
Aucho, Dube mambo magumu, Diarra kicheko Katika mechi zao hizo baadhi zimepata matokeo mazuri, nyingine zimeondoka na pointi moja moja na kuna zilizoangusha pointi zote tatu.
AKILI ZA KIJIWENI: Tumeshtukia wajanja dili la Sowah YULE Jonathan Sowah ni ingizo muhimu sana kwa Singida Black Stars katika dirisha dogo lililopita kutokana na kasi yake ya kufumania nyavu akimfunika hadi straika aliyemkuta Elvis Rupia.