Yanga yarejea kileleni, Fei Toto ainyima Prisons mamilioni Ushindi huu unakuwa na maana kubwa kwa Yanga kwenda kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kufikisha pointi 35, katika michezo 14, iliyocheza msimu huu hadi sasa.
Chama aishika pabaya Simba, mabosi wapagawa MABOSI wa Simba wanakuna kichwa baada ya kiungo fundi na mkali wa asisti wa kikosi hicho, Clatous Chama kuwashika pabaya. Mwanaspoti linajua kwamba mkataba wake wa mwaka mmoja anafikia ukingoni...
Okwa arejea Dar, afunguka MSHAMBULIAJI wa Simba, Nelson Okwa asubuhi ya leo (Ijumaa), amerejea nchini akitokea kwao Nigeria kwa ajili ya matibabu ya nyama za nyuma ya paja ambazo zilikuwa zikimsumbua. Okwa aliumia kwenye...
Mgunda achekelea, aitaja Yanga NYOTA wa Simba wamerejea mazoezini kwa siku mbili na leo watalihama jiji kwenda Tanga kwa mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union, huku kocha Juma Mgunda akizungumzia matokeo ya mechi yao...
Nabi atabiri mazito Simba MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga juzi jioni walikiwasha na Ihefu kwenye Uwanja wa Mbarali, Mbeya na matokeo kama ulivyoyaona. Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi amesisitiza kwamba huu ndiyo...
Pablo karudi, aeleza sababu kuwa Dar SIMBA juzi Jumapili ilikuwa Kilimanjaro dhidi ya wenyeji wake, Polisi Tanzania lakini habari ikufikie kocha wa zamani, Pablo Franco yuko nchini akitua kimyakimya. Ujio wa Pablo unaleta maswali...
Barbara: Kishindo kinakuja, Simba kufyeka mastaa MABOSI wa Simba wamekerwa na kitendo cha timu yao kudondosha pointi kwenye mechi za ugenini na wamekubaliana kwamba hakuna namna dirisha dogo la usajili lazima watumie pesa timu irudi kwenye...
Chama, Phiri, Okrah wafunguka mikakati mizito NYOTA wa Simba, Augustine Okrah na Moses Phiri wamefichua siri kubwa ya kufanya vizuri msimu huu katika mashindano mbalimbali huku wakibainisha ushindani uliopo kati yao ndio chanzo...
Nabi: Naleta mashine tatu, apania kutikisa Afrika ZIKIWA zimebaki siku 24 kabla ya dirisha dogo la usajili kufunguliwa Disemba 15, Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema ataleta mashine tatu kwa ajili ya kuboresha kikosi chake. Nabi alisema...
Vyuma vitatu vinashuka Simba, kocha Mreno kuiona Mbeya City Jumatano KWENYE dirisha dogo linalofunguliwa Desemba 15, Simba itashusha mashine tatu, Mwanaspoti limeambiwa. Mwanaspoti pia linajua kwamba ndege zitaanza kupisha kwa fujo kwenye Uwanja wa Ndege wa...