Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1633 results for Daudi Elibahati :

  1. PRIME Yanga yapiga hodi CAF, mipango yaanza

    KATI ya mashirikisho 54 ya soka Afrika ambayo yanapeleka timu zao kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika yanayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kila msimu, Tanzania tayari imepata...

  2. Yanga yashinda ikiweka rekodi rekodi tatu

    MABINGWA watetezi, Yanga wameendelea kunyatia ubingwa wa Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Fountain Gate, katika mchezo uliopigwa Jumatatu hii kwenye Uwanja wa...

  3. Namungo yavunja mwiko wa dakika 270

    USHINDI wa mabao 2-1 ilioupata Namungo dhidi ya Mashujaa katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, umeifanya timu hiyo kuvunja mwiko wa dakika 270 na kushinda kwa mara ya kwanza dhidi ya wapinzani wao hao...

    NAMUNGO Pict
  4. Lusajo Mwaikenda hashikiki kwa mabao

    BEKI wa Azam FC, Lusajo Mwaikenda amevunja rekodi ya msimu uliopita ya mabeki waliofunga mabao mengi zaidi katika Ligi Kuu, baada ya nyota huyo kufunga moja na kufikisha matano katika ushindi wa...

    LUSAJO Pict
  5. Moto wa Jonathan Sowah si mchezo Bara

    MABAO mawili aliyofunga mshambuliaji wa Singida Black Stars, Jonathan Sowah katika ushindi wa timu hiyo wa 3-0 dhidi ya Tabora United, yamemfanya kutishia upya ufalme wa washambuliaji wa Yanga...

    SOWAH Pict
  6. Kocha Polisi Tanzania akubali yaishe

    KOCHA wa maafande wa Polisi Tanzania, Mussa Rashid amesema timu hiyo inapigania heshima ya kumaliza vizuri msimu huu, baada ya malengo waliyojiwekea ya kupigania nafasi nne za juu kukwama...

    POLISI Pict
  7. Julio akwepa Play-Off Kiluvya United

    KOCHA wa Kiluvya United, Julio Elieza amesema hataki kuiona timu hiyo ikiwa katika presha ya kumaliza katika nafasi ya kucheza mtoano (play-offs), ingawa malengo aliyopewa ni kuhakikisha kikosi...

    JULIO Pict
  8. Chama la Wana lazipotezea 8-1 za Yanga

    LICHA ya Stand United 'Chama la Wana', kuchapwa kwa mabao 8-1, dhidi ya Yanga katika mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho (FA), kocha wa kikosi hicho, Juma Masoud amesema kichapo hicho...

    STAND Pict
  9. Fredrick Magata bado pointi tatu tu

    KIUNGO mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Fredrick Magata anasubiri kwa hamu kuandika historia tamu ya maisha yake kwa kuhusika katika kuzipandisha Ligi Kuu Bara timu mbili tofauti.

    MGATA Pict
  10. Azam yasaka rekodi Kombe la Muungano

    BAADA ya ndoto za Azam kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu kuota mbawa, kocha Rachid Taoussi kwa sasa amehamishia nguvu katika michuano ya Kombe la Muungano, ingawa anakabiliwa na mtihani...

Previous

Page 7 of 164

Next