Siri ya Morrison kurejea Yanga BAADA ya Yanga kutoa taarifa za kurejea kwa winga wa zamani wa timu hiyo, Bernard Morrison 'BM33', kocha anayemnoa FAR Rabat ya Morocco, Nasredine Nabi amevunja ukimya na kuanika sababu ya...
Kocha alia kumkosa Phiri Kocha wa zamani wa Yanga, George Lwandamina amesema kama angefahamu Simba ingeachana na mshambuliaji Moses Phiri angeshamchukua mapema kwani ana kitu.
Kocha wa Ronaldo ataja maajabu ya Sarr Simba KOCHA wa viungo wa timu ya Al Nassr ya Saudi Arabia, Junior Robertinho ambaye ni mtoto wa aliyekuwa kocha wa Simba, Robertinho Oliviera amesema kiungo mpya wa Msimbazi, Babacar Sarr ni mtu wa...
Stars ilifeli hapa Ivory Coast BAADA ya Stars kurudia historia ya 1980 dhidi ya Zambia juzi katika Uwanja wa Laurent Pokou, Ivory Coast kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) ambako ilitoka sare ya bao 1-1...
Aliyeshiriki 5-0 za Simba aibukia Tabora United UNAZIKUMBUKA zile 5-0 ilizopewa Simba kutoka kwa AS Vita katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2018-2019? Katika mchezo huo uliopigwa Kinshasa kuna kiungo mkabaji aliyewapoteza kabisa...
PRIME Benchikha afichua ishu ya Baleke Kocha Mkuu wa Simba, Abdehak Benchikha amevunja ukimya na kuzungumza sababu za Jean Baleke kutimka Msimbazi, huku akisisitiza klabu hiyo inahitaji mshambuliaji mkali zaidi kuliko Mkongomani huyo,...
Kiungo mpya Simba arudi kwao Alisema anajua ana kibarua kigumu ndani ya Simba, hivyo anaenda kuweka manmbo sawa baada ya kupewa mapumziko na anaamini akirudi atakuwa na kazi moja tu ya kujituma mazoezini kabla ya kuanza...
PRIME Babacar asepa kwao, asema kazi ipo KIUNGO mpya wa Simba, Babacar Sarr amerejea kwao Senegal ili kuweka mambo sawa, huku akisema tayari amekwisha kukisoma kikosi hicho kipya na akirudi kazi aliyonayo ni moja tu kukiwasha. Sarr...
Gadiel huyoo, atimkia Sauzi ALIYEKUWA nahodha wa Singida Fountain Gate, Gadiel Michael anajiandaa kwenda Afrika Kusini kujiunga na kikosi cha Cape Town Spurs (Ajax Cape Town) iliyomnunua kupitia dirisha dogo, dili zima...
PRIME Kyombo: Simba kugumu, aota kucheza Ulaya NDOTO ya kucheza soka Ulaya kila mchezaji nchini anayo. Wengine wamefanikiwa kufika huko wakarudi, wengine wanaendeleza moto huko na kuna wale wanaojitafuta ili kutimiza ndoto zao hizo. Habib...