Freddy awaahidi wanasimba furaha Mshambuliaji mpya wa Simba, Freddy Michael Kouablan, amewatoa hofu mashabiki na viongozi wa klabu hiyo kwenye ishu ya kufunga mabao, kwani hiyo ndio kazi yake na hajawahi kukosea katika timu...
Ihefu yashusha Mnigeria IHEFU yashusha beki mpya Benjamin Tanimu kutoka Nigeria, baada ya kubadilisha gia juu kwa juu. Tanimu anakuwa Mnigeria wa pili kuingizwa katika kikosi hicho baada ya kiungo Morice Chukwu...
Freddy: Tulieni, hapa Simba nitafunga sana! KIKOSI cha Simba kipo mjini Kigoma tayari kwa pambano la Ligi Kuu Bara litakalopigwa kesho Jumamosi dhidi ya Mashujaa ya Kigoma, huku straika mpya wa timu hiyo Freddy Michael Kouablan, amewatoa...
Simba, Yanga zapewa vibonde tena ASFC DROO ya hatua ya 32 Bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) imefanyika mapema leo, huku vigogo Simba na Yanga zikipewa tena timu mchekea kwenye hatua hiyo baada ya awali kuzing'oa...
Mastaa Yanga warejea na biti Baada ya kukosa mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), mastaa wa Yanga waliokuwa Afcon wameanza kurejea na baadhi wataiwahi Kagera Sugar na kutamba kuendeleza ushindi.
PRIME Nabi afika bei kwa Bacca, Inonga Mwanaspoti limejiridhisha kwamba upo mjadala mzito ndani ya FAR Rabat ya Morocco kuhusiana na mabeki wawili wa kati wa Simba na Yanga.
PRIME Bacca afichua siri nzito Beki wa Yanga na Taifa Stars anayewindwa na madalali kadhaa barani Ulaya na Afrika, Ibrahim Hamad 'Bacca' amefichua siri nzito kuhusu kiwango chake na kitu ambacho hatakisahau Afcon 2023.
Guede apewa msala Yanga BAADA ya straika mpya wa Yanga, Joseph Guede kutua kambini kuungana na wenzake mazoezini, kocha mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi aliamua kumchomoa kundini kisha kumpa programu maalumu. Guede...
Nabi afichua ishu ya Morrison kurejea Yanga BAADA ya Yanga kutoa taarifa za kurejea kwa winga wa zamani wa timu hiyo, Bernard Morrison 'BM33', kocha anayemnoa FAR Rabat ya Morocco, Nasredine Nabi amevunja ukimya na kuanika sababu ya...
Pa Jobe, Sarr waanza kunogesha Simba HUKO Simba mambo yamezidi kunoga baada ya mastaa wapya wa kigeni waliosajiliwa katika dirisha dogo wote kutua kambini, akianza Freddy Michael Koublan kabla ya mchana wa leo Ijumaa OPa Omary Jobe...