Kikosi cha watumishi hewa UTAMU wa Ligi Kuu Bara unarejea tena leo kwa mechi za ufunguzi wa mzunguko wa pili, Ruvu Shooting ikicheza dhidi ya Ihefu na KMC ikiikaribisha Coastal Union ya Tanga. Mambo yalikuwa ni mengi...
Singida yasajili winga wa Azam “Hawa wanaonekana kuwa watasajiliwa lakini Sabato na wengine nafikiri wanne watatolewa aidha kwa mkopo au kuuzwa,” kilisema chanzo.
Manzoki anakuja Dar, Simba kuanza usajili leo Dirisha dogo la usajili limefunguliwa leo Desemba 15, mabosi wa Simba wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salim Abdallah ‘Try Again’ pamoja na benchi la ufundi chini ya Kocha Juma...
Saido apewa masharti Simba SIKU chache kabla ya kufunguliwa kwa dirisha dogo la usajili, mabosi wa Simba wameonyesha kiu yao ya kumnasa kiungo fundi wa zamani wa Yanga, Saido Ntibazonkiza na habari za ndani zinasema jamaa...
Dili la Luis Simba limekwama kisa mkwanja Baada ya kutolewa kwa mkopo na Al Ahly ya Misri kwenda Abha, Saudi Arabia alidumu kwa miezi michache na kurejea Maputo.
Simba yampa Matola ubosi MABOSI wa Simba wajanja sana, kwani baada ya kusikia kocha msaidizi aliyekuwa masomoni, Seleman Matola anatakiwa na klabu moja ya Ligi Kuu Bara, fasta wakaamua kufanya mambo kwa kumpandisha cheo...
Ajibu, Sabilo wanukia Singida Big Stars Ajibu anamaliza mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia Azam iliyomsajili dirisha dogo la usajili msimu uliopita akitokea Simba, huku ikionekana hakuna dalili ya kumuongezea mkataba mpya kutokana na...
Ni Fei Toto tu Yanga WAKATI Yanga wakiwa mkoani Lindi kuvaana na Namungo leo, takwimu zinaonyesha kiungo Feisal Salum ‘Fei Toto’ ni mwamba haswa Ligi Kuu msimu huu katika chama lake akiliokoa katika nyakati ngumu.
Phiri asimulia alivyoitosa Yanga KINARA wa mabao Simba anayeongoza pia orodha ya wafungaji wa Ligi Kuu sambamba na Fiston Mayele, Mzambia Moses Phiri amefichua siri nzito aliyokaa nayo tangu atue nchini kukipiga Msimbazi.
Yule fundi karudi Simba MASHABIKI wa Simba na hata wadau wa soka kwa ujumla walikuwa wakijiuliza maswali mengi kocha msaidizi wa Simba, Selemani Matola, akimaliza kozi yake ya ukocha atarejea Msimbazi au atachimba moja...