Simba Queens V JKT Queens kupigwa Mei 07 DABI ya wanawake kati ya Simba Queens na JKT Queens imesogezwa mbele kutoka April 29 hadi Mei 07 kupisha mashindano ya timu ya taifa ya Futsal.
Kocha Al Nassr ampa u-MVP Clara Luvanga KOCHA Mkuu wa Al Nassr ya wanawake, Aziz Alalwni amemtaja nyota wa kimataifa wa Tanzania, Clara Luvanga ndio mchezaji anayestahili tuzo ya mchezaji bora wa mwaka.
Tanzania, Cameroon patachimbika Morocco TIMU ya taifa ya wanawake ya Futsal, leo Jumatatu itashuka Uwanja wa Sportif Prince Moulay Abdallah, huko Morocco kukipiga dhidi ya Cameroon katika mchezo wa nusu fainali ya mashindano ya mchezo...
Yanga kunufaika na madogo hawa YANGA iko visiwani Pemba kwenye mashindano ya Kombe la Muungano lakini inachokifanya kwenye timu za vijana ni wazi itanufaika na matunda hayo.
PRIME Mayele: Bidhaa ya Ligi Kuu inayotikisa soko Misri STRAIKA wa mabao Fiston Mayele ameendelea kuthibitisha kuwa mmoja wa washambuliaji bora zaidi katika bara hili kwa sasa akiwasha moto katika Ligi ya Mabingwa Afrika na Ligi Kuu ya Misri akiwa na...
Sichone aumaliza msimu mapema MSHAMBULIAJI wa Trident FC inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza nchini Zambia, Mourice Sichone amesema kwa asilimia kubwa malengo aliyojiwekea msimu huu yametimia.
Mabula anaitaka namba Taifa Stars KIUNGO wa Kitanzania, Alphonce Mabula ni miongoni mwa nyota wanaofanya vizuri kwenye kikosi cha Shamakhi FC na mwenendo huo inaonyesha ni wazi anaitaka nafasi kwenye kikosi cha timu ya taifa...
TEMS: Mmiliki San diego anayefuata nyayo za waafrika hawa MWANADADA Temilade Openiyi ‘Tems’ ameungana na nyota wa zamani wa klabu ya Manchester United na Chelsea, Juan Mata kama sehemu ya wamiliki wa klabu ya soka ya San Diego FC inayoshiriki Ligi Kuu...
Mukandayisenga: Namba zinambeba Yanga princess KAMA kuna wanachojivunia mashabiki wa Yanga Princess msimu huu basi ni usajili bora walioufanya kuanzia dirisha kubwa na lile dogo.
Abigail chams shoo 5 za nguvu zakumfananisha na Beyonce KATIKA burudani, suala la kuimba ni lingine na kufanya shoo ni lingine.