Kocha Coastal ahamishia nguvu Bara KITENDO cha Coastal Union kutupwa nje ya mashindano ya Kombe la Muungano baada ya kuchapwa bao 1-0 dhidi ya Zimamoto katika hatua ya robo fainali, kaimu kocha mkuu wa kikosi hicho, Joseph Lazaro...
Mtibwa noma, yarejea Ligi Kuu baada ya siku 332 Sare ya bao 1-1, iliyoipata Mtibwa Sugar ugenini dhidi ya Bigman FC kwenye Uwanja wa Ilulu Lindi, imeifanya timu hiyo kurejea rasmi Ligi Kuu Bara kwa msimu ujao, huku ikiwa ya kwanza kukata...
Taoussi awapa angalizo mastaa Azam FC BAO la Lusajo Mwaikenda dakika ya 63, limetosha kuipeleka Azam FC hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Muungano inayoendelea visiwani Pemba, baada ya kuifunga KMKM 1-0, huku Kocha Mkuu...
Mtibwa Sugar ina dk 90 za kihistoria VINARA wa Ligi ya Championship, Mtibwa Sugar wana dakika 90 za kuamua hatma ya kurejea Ligi Kuu Bara kwa msimu ujao kama watashinda mechi ya leo ugenini dhidi ya Bigman FC kwenye Uwanja wa Ilulu...
PRIME Yanga yaweka rekodi nyingine KIKOSI cha Yanga kinatarajiwa kuondoka jijini Dar es Salaam leo Ijumaa kwenda visiwani Zanzibar kwa ajili ya ushiriki wa michuano ya Kombe la Muungano 2025 iliyoanza jana, huku ikiwa imeandika...
Noble aitwa kamati ya maadili Fountain Gate KIPA wa Fountain Gate raia wa Nigeria, John Noble ameitwa Kamati ya Maadili ya klabu hiyo, kwa lengo la kuhojiwa kutokana na makosa mawili aliyofanya ya kuruhusu mabao mawili yaliyochangia timu...
Kombe la Muungano vita ya Bara, Visiwani PAZIA la michuano ya Kombe la Muungano, linafunguliwa Alhamisi hii kwa mchezo mmoja wa robo fainali ambapo Singida Black Stars itaanza kampeni ya kusaka taji hilo dhidi ya JKU, saa 11:00 jioni.
PRIME Yanga yapiga hodi CAF, mipango yaanza KATI ya mashirikisho 54 ya soka Afrika ambayo yanapeleka timu zao kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika yanayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kila msimu, Tanzania tayari imepata...
Yanga yashinda ikiweka rekodi rekodi tatu MABINGWA watetezi, Yanga wameendelea kunyatia ubingwa wa Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Fountain Gate, katika mchezo uliopigwa Jumatatu hii kwenye Uwanja wa...
Namungo yavunja mwiko wa dakika 270 USHINDI wa mabao 2-1 ilioupata Namungo dhidi ya Mashujaa katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, umeifanya timu hiyo kuvunja mwiko wa dakika 270 na kushinda kwa mara ya kwanza dhidi ya wapinzani wao hao...