AKILI ZA KIJIWENI: Taoussi ana kazi kubwa Azam AZAM FC inaomba Mungu aijaalie ipate tiketi ya kushiriki mashindano ya kimataifa msimu ujao, licha ya ushindani inaopata kutoka kwa Singida Black Stars hapo kwenye nafasi ya tatu ambako wapo.
AKILI ZA KIJIWENI: Kaseja sasa ndo ameanza kazi Kagera SIKU za mwanzoni za Juma Kaseja ndani ya Kagera Sugar baada ya kukabidhiwa ukocha mkuu zilikuwa tamu sana kutokana na mwenendo mzuri ambao timu hiyo ilikuwa nao wakati kipa huyo wa zamani wa...
AKILI ZA KIJIWENI: Bao la Mbeya City limpe somo Chamou MUDATHIR Said alipiga bao kali sana dhidi ya Simba kwenye mechi ya robo fainali ya Kombe la FA lakini bahati mbaya bao lake halikuisaidia timu yake na ikajikuta ikichapwa mabao 3-1.
PRIME Wanne Simba wabeba tumaini SIMBA tayari ipo visiwani Zanzibar kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa nusu fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch ya Afrika Kusini, huku mastaa wanne wa klabu...
Sh 11.8 bilioni zatua akaunti Simba Kufuzu kwa Simba nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuitoa Al Masry kwa mikwaju ya penalti 4-1, kunamaliza kiu ambayo ilikuwa nayo tangu 2018 ilipoanza kujijenga upya baada ya...
Msuva mambo yamenoga Ligi Kuu Iraq Bao moja ambalo Saimon Msuva ameifungia timu yake ya Al Talaba dhidi ya Al Karma juzi kwenye Ligi Kuu ya Iraq, limemfanya nyota huyo wa Taifa Stars kufikisha mabao tisa kwenye ligi hiyo, idadi...
Mkongomani kuamua Simba vs Stellenbosch CAFCC Refa mzoefu Jean Jacques Ndala kutoka DR Congo ndiye amepangwa kuchezesha mechi ya kwanza nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baina ya Simba na Stellenbosch ya Afrika Kusini kwenye Uwanja...
Mo Salah kulamba mshahara mnono Liverpool Liverpool itamlipa kiasi cha Pauni 2,232 (Sh7.6 milioni) kwa saa mshambuliaji wake Mohamed Salah kupitia mkataba mpya baina yake na nyota huyo wa Misri.
AKILI ZA KIJIWENI: Salamu za kijiwe kwa Singida Black Stars WARAKA huu unatoka hapa kijiweni kwenda kwa chui wa Singida, timu ya Singida Black Stars inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa pili sasa.