Simba yatuma fundi Mwanza BAADA ya kubanwa na Kagera Sugar ugenini kwenye Uwanja wa Kaitaba juzi, mabosi wa Simba wameonekana kukerwa na matokeo hayo na fasta wamemkatia tiketi ya ndege fundi mwingine ili kwenda kuongeza...
Ajibu atangaza vita mpya KABLA ya Singida Big Stars kucheza mchezo wa kwanza Kombe la Mapinduzi mjini Unguja dhidi ya KMKM Januari 2, mwakani, itakuwa imemtambulisha nyota wake mpya, Ibrahim Ajibu Migomba kutokea Azam FC.
Simba yampiga stop Inonga WAKATI mabosi wa Simba wakiwa kwenye harakati za kuboresha kikosi chao katika dirisha hili dogo la usajili kuna wachezaji watatu hadi sasa ni suala la muda tu kutua ndani ya timu hiyo, lakini...
Mgunda anaanza na huyu, ni mkata umeme, wafanya kikao dakika 30 MWENYEKITI wa bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Salim Abdallah 'Try Again' wala hatanii na hataki mzaha baada ya kurejea nchini mwisho wa wiki iliyopita akitokea Qatar na kuanza na mipango ya usajili...
Mo Dewji amleta straika Mghana Simba BAADA ya kuwepo maneno mengi mtaani hasa vijiwe vya kahawa na hata mtandaoni bilionea wa klabu ya Simba, Mohamed ‘MO’ Dewji amejiweka pembeni, bilionea huyo ameamua kufanya kweli kwa kuwataka...
2022 ulikuwa mwaka wa Dabi SIKU zinahesabika kabla ya Mwaka 2022, kusepa kuupisha 2023, huku kukiwa na kumbukumbu nyingi za kusisimua. Katika soka achana na mafanikio kwa timu kadhaa zikiwemo za walemavu, Serengeti Girls,...
Barbara aanza kuaga Simba SIKU chache baada ya kutoa notisi ya kuachia ngazi ndani ya Simba, Ofisa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Barbara Gonzalez ameanza kuwaaga baadhi ya wafanyakazi aliofanya nao kazi klabuni...
Simba: Tumewaskia, Chama huyoo mapemaa KIKOSI cha Simba jana kilifanya jijini Mwanzakujiandaa na mechi tatu mfululizo za Ligi Kuu Bara zitakazopigwa Kanda ya Ziwa, benchi la ufundi na baadhi ya nyota wa timu hiyo wakiwahakikisha...
Barbara aanza kuaga Simba Barbara alisema kulingana na majukumu yake mbalimbali anayoyafanya wakati huu huenda asipate nafasi nyingine ya kukutana na wafanyakazi wengine wote kwa pamoja na kuwaaga kama anavyotaka.
Mastaa Prisons kuoga noti UONGOZI wa Tanzania Prisons ukishirikiana na wadhamini wao wakuu, Kampuni ya Usafirishaji Silent Ocean umejipanga kuhakikisha mzunguko wa pili kikosi kinafanya vizuri kwenye michezo 15 na...