Kocha KenGold mtihani upo hapa! WAKATI Kocha mpya wa Ken Gold, Vladslav Heric akianza kazi katika timu hiyo akisaka rekodi ya kwanza nchini, anakabiliwa na mitihani kadhaa itakayompaisha au kumwangusha.
Josiah: Ishu ya wakongwe ni nje ya uwezo wangu, nakomaa na hawa Prisons Walioondoka ni wakongwe Salum Kimenya, Jumanne Elfadhil, Samson Mbangula, Jeremia Juma, Nurdin Chona na Jamal Masenga, ambao ni waajiriwa wa Jeshi la Magereza.
Mserbia KenGold aanza na mambo matatu akiiwinda Yanga Kocha Mkuu wa KenGold, Vladislav Herić hataki kupoteza muda kwani baada ya kutambulishwa rasmi kikosini hapo, ameanza na mambo matatu kuhakikisha timu inakuwa tayari kwa mchezo ujao wa Ligi Kuu...
Elifadhili: Ndoto yangu haijatimia ALIYEKUWA beki wa kati na nahodha wa Tanzania Prisons, Jumanne Elifadhili amesema licha ya kuondolewa kikosini, lakini hesabu zake zilikuwa ni kustaafu soka mwishoni mwa msimu huu, huku akieleza...
Mserbia wa KenGold ni soka la kasi na nidhamu, asaka rekodi Tanzania Amesema anafahamu presha ni kubwa na haitakuwa kazi nyepesi lakini ushirikiano wake katika benchi la ufundi kwa makocha alionao utainusuru timu hiyo.
NDO HIVYO... KenGold inaanza upyaaa, mjipange! TUNARUDI UPYAAA. Ni kauli ya vigogo wa KenGold wakitambia kikosi walichokisajili katika dirisha dogo lililofungwa juzi kwa kushusha mastaa wapya ambao wanaamini wataibeba timu katika ngwe ya lala...
Vyuma KenGold vinashtua Kikosi hicho cha Wachimba Dhahabu wa Chunya, kimewakosa nyota hao wa zamani waliowahi kutamba na Simba katika dakika za lala salama kabla ya kufungwa kwa dirisha dogo la usajili kutokana na...
Josiah; Kocha mpya aliyeshikilia hatma ya Prisons Tanzania Prisons ni miongoni mwa timu zinazopambana kukwepa kushuka daraja baada ya kutokuwa na mwendelezo mzuri kwenye Ligi Kuu na kuweka presha ndani na nje ya uwanja.
Josiah anaanza hivi Tanzania Prisons, mastaa wote ndani Baada ya kuanza kibarua chake, Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Aman Josiah, amesema licha ya ugeni alionao kwenye Ligi Kuu Bara, lakini haoni kitu kipya badala yake anaamini katika uwezo wake.
KenGold yachafua hali ya hewa! watajwa Miquisone, Lwanga KWA wanachoendelea kufanya KenGold kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo ni kama ‘kuchafua hali ya hewa’.