Search

189 results for Mustafa Mtupa :

  1. Dube: Mokwena anaiogopa Yanga

    MWANDISHI wa habari kutoka Afrika ya Kusini, Dube Mthoko amesema Kocha wa Mamelodi Sundowns, Rhulani Mokwena Hloae anaiogopa Yanga kuelekea mchezo wao wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika...

  2. Arafat: Simba, Yanga ziache kusaidia wageni

    MAKAMU wa rais wa Yanga, Arafat Haji amesema Simba na Yanga zina nafasi ya kutinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa ikiwa zinatajipanga vizuri na kutumia zaidi uwanja wa nyumbani na mashabiki...

  3. Kocha Mamelodi kujichimbia ili kuitazama Yanga

    BAADA ya kuwafahamu wapinzani wao, kocha wa Mamelodi Sundowns, Rhulani Mokwena amesema anakwenda kujichimbia kuitazama zaidi Yanga kiufundi wakati wa mapumziko ya kalenda ya mechi za...

  4. Tyson alivyolaaniwa na kubarikiwa

    LAS VEGAS, MAREKANI. Ni kweli nimefilisika, lakini nina maisha mazuri, nina mke mzuri ambaye ananijali, sina kitu kwa sasa lakini huko nyuma nilifanya starehe sana, kufilisika kumetokea tu, nina...

  5. Gamondi wala hawahofii Mamelodi

    DROO ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika imepangwa leo jioni na miamba ya soka nchini, Yanga na Simba zikifahamu wapinzani watakaokutana nao kwenye hatua hiyo. Yanga imepangwa kukutana na...

  6. Yanga: Hatuwaogopi Mamelodi

    MTENDAJI Mkuu wa Yanga, Andrew Mtine amesema hawaiogopi Mamelod Sundowns waliyopangwa nayo kwenye hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku akitaja mambo matatu. Mtine ameyataja...

  7. Simba iliitamani Petro, Ahly freshi

    BAADA ya droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufanyika na Simba kupangwa na Al Ahly kwenye mchezo wa robo fainali, mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Simba, Issa Masoud amesema kukutana na Ahly mara...

    New Content Item (1)
  8. Simba, Asec hazichekani hapa

    IKIWA Ligi ya Mabingwa Afrika imefika hatua ya robo fainali, kama kawaida timu nane zimefuzu baadhi zikiwa zimeonyesha viwango bora kwenye hatua ya makundi zikishika nafasi ya kwanza. Hata...

  9. Al Ahly yaanza kubeba mataji

    WAKATI ikisikilizia droo ya merchi za robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa ndio watetezi wa taji, Al Ahly ya Misri imeanza kukusanya mataji ya msimu huu baada ya jana usiku kuwafumua...

  10. Bruno wa Singida FG atambulishwa Brazil

    KIUNGO wa zamani wa Singida Fountain Gate, Bruno Gomes amerejea nchini kwao Brazil na kujiunga na timu ya Athletic Club inayoshiriki Ligi Daraja la Pili. Mchezaji huyo alitangaza siku chache...

Previous

Page 5 of 19

Next