Yanga, KVZ kazi ipo Kombe la Muungano BAADA ya Singida Black Stars kuenguliwa na JKU kwa penalti 6-5 leo itakuwa ni zamu ya Yanga kuvaana na KVZ katika mechi ya michuno ya Kombe la Muungano 2025, ikikumbushia mechi mbili za Kombe la...
PRIME Ishu ya Diarra kuondoka Yanga iko hivi MASHABIKI wa Yanga wamekuwa na presha baada ya kuenea taarifa kwamba kipa namba moja Diarra Djigui anajiandaa kuondoka, lakini kocha mkuu Miloud Hamdi ameweka msimamo, huku akiwatoa hofu...
Beki KMC ajiandaa kutua Al Hilal BEKI wa KMC, Raheem Shomary akiwa katika harakati za kuipambania timu hiyo ishishuke daraja ikiwa imebakiza mechi nne mkononi huenda akawa sehemu ya kikosi kitakachoshiriki Ligi ya Mabingwa...
Namba 866 kwa Sowah na kasi ya kutupia NI Azam FC na KMC tu ambazo hajazifunga kati ya timu 11 alizocheza nazo tangu amejiunga na Singida Black Stars katika dirisha dogo la usajili msimu. Huyu ni mdunguaji hatari kabisa kutoka Ghana...
Mayanga atenga siku nane Mashujaa MASHUJAA imebakiwa na dakika 360 za kibabe kumaliza msimu wa 2024/25, huku kocha wa timu hiyo, Salum Mayanga akisisitiza anataka kutumia siku nane kujipanga ili kuona wanatoboaje mbele ya Simba.
PRIME Munthari: Najutia sana kukatisha soka la Nsa Job “Nina matukio mawili makubwa ambayo licha ya soka kuniendesha linavyotaka lakini na mimi naendeshwa na hayo matukio kutokana na kutokuwa mazuri kwangu na hayawezi kufutika kwenye maisha yangu ya...
Saadun: Lilikuwa ni suala la muda, huu ni wakati wangu “Huu ni wakati wangu, lilikuwa ni suala la muda na mimi kufanya hiki ninachokifanya baada ya kurudi kucheza Tanzania.
Fountain Gate yamsimamisha kipa kisa mabao ya Yanga UONGOZI wa Fountain Gate umemsimamisha kipa wake John Noble kwa makosa yanayodaiwa kuwa ni ya kizembe kwenye mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Yanga timu hiyo ikikubali kichapo cha mabao 4-0.
Mo Dewji amkingia kifua Ahoua, aitaja Stellenbosch SIKU moja baada ya kiungo wa Simba, Charles Ahoua kukosa nafasi ya wazi ambayo ingeisaidia timu hiyo kushinda mabao mawili dhidi ya Stellenbosch ya Afrika Kusini kwenye uwanja wa nyumbani...
Fountain Gate yamkomalia Yusuphu Athuman SIKU chache baada ya mshambuliaji Yusuph Athuman kutambulishwa na Yangon United ya Ligi Kuu Myanmar, uongozi wa Fountain Gate imeibuka na kuweka wazi kuwa bado ni mchezaji wao halali.