Karia atoa msimamo ombi la simba, yanga RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amesisitiza kuwa ni jambo la busara na hekima kuheshimu katiba inayoziongoza klabu zote nchini zilizopo chini ya mwamvuli wa shirikisho hilo.
PRIME Ramovic ampigia hesabu beki wa Kaizer Chiefs YANGA imeaga michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini chapu kocha wa timu hiyo, Sead Ramovic ameanza msako wa kikosi kipya kwa msimu ujao
PRIME Yanga ikimuacha tu, anatua msimbazi DURU za ndani kabisa, zinasema Simba imenasa antena zake Jangwani ambako lolote linaweza kutokea kati yao na Kennedy Musonda wa Yanga.
Bakari Machumu atangaza kustaafu MCL Baada ya miaka minne ya mafanikio ya kiuongozi akiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Bakari Machumu ametangaza kustaafu ifikapo Agosti 31, 2024.
Kundemba yaizima JKU, Malindi ikizinduka ZPL VINARA wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), JKU jana ilijikita ikisimamishwa na Kundemba kwa kulimwa mabao 2-0 katika mechi za lala salama za Ligi hiyo, huku Malindi ikizinduka kwa Uhamiaji. JKU...
Bosi La Liga aichongea Man City Rais wa Bodi ya Ligi Kuu Hispania ‘La Liga’, Javier Tebas amefichua kuwa idadi kubwa ya timu zinazoshiriki Ligi Kuu ya England (EPL), zimetoa maoni kuwa Manchester City ipewe adhabu kutokana na...
Malindi haishikiki Zenji, Kibadeni apiga Hat Trick MABINGWA wa zamani wa Zanzibar, Malindi imeendelea kuonyesha dhamira ya kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) msimu huu, baada ya jana kuwanyooshaa wageni wa ligi hiyo, Inter Zanzibar kwa...
Gamondi ayaona mabao Zanzibar YANGA inaondoka saa 3:00 asubuhi ya kesho Alhamisi na itatumia masaa mawili tu kufika Unguja, Zanzibar tayari kwa mchezo wa marudiano wa raundio ya pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya CBE ya...
Owen aitabiria Arsenal ubingwa EPL Owen anaimani Arsenal itaishinda huku Liverpool na Aston Villa wakimaliza nafasi ya pili na tatu, na Man City nafasi ya nne.
Mlandege yaona mwezi Zanzibar MABINGWA wa Kombe la Mapinduzi 2024, Mlandege jana imeonja ushindi wa kwanza katika Ligi Kuu Zanzibar kwa msimu huu baada ya kuinyoa Mafunzo kwa bao 1-0 kwenye Uwanja wa Amaan kwa Wazee mjini...