Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

692 results for Victoria Melkiad :

  1. Zigo la fedha lamng'oa Inonga Simba

    Taarifa kutoka ndani ya Simba zinasema kwamba, bodi ya klabu hiyo imeridhia kumuuza Inonga kwenda FAR Rabat kwa dau hilo.

  2. Diarra, Yanga wakaa mezani, Mwamnyeto njia panda

    YANGA sasa iko mezani na menejimenti ya kipa Djigui Diarra, ili kumuongeza mkataba wa mwaka mmoja ili aendelee kuitumikia, licha ya kuwa amebakiza msimu mmoja kabla ya mkataba wa sasa kumalizika.

  3. PRIME Simba yafuata kiungo Mashujaa

    Inadaiwa Omary aliyewahi kukipiga Tanzania Prisons kabla ya Mashujaa kumchukua na msimu uliomalizika hivi karibuni aling’ara wakati timu hiyo ikipambana na kumaliza nafasi ya nane licha ya awali...

    New Content Item (1)
  4. JIWE LA SIKU: Simba mpya, mitihani iko hapa!

    Wengine wanakwenda mbali wakisema kwamba Simba haina thamani ndogo kama hiyo, ambayo ni chini ya bajeti yao wa mwaka mmoja tu (kwa msimu uliopita bajeti ya Simba ilikuwa ni Sh23 bilioni). Hivyo...

  5. PRIME Mrithi wa Metacha apatikana Yanga SC, asaini miaka miwili

    YANGA imepata mrithi wa kipa Metacha Mnata, ambaye ni Abubakar Komeni wa Ihefu na bila kuchelewa tayari imeshamsainisha mkataba wa miaka miwili.

  6. Beki mpya Yanga SC apewa maelekezo, Gamondi achachamaa

    KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi amepiga simu moja kwa beki mpya kutoka FC Lupopo Chadrack Boka na kumpa maelekezo mazito kuhusu msimu ujao, Mwanaspoti linajua.

  7. TETESI ZA USAJILI BONGO: Najim kutoka Tabora kwenda Singida BS

    SINGIDA Black Star imeweka dau la Milioni 130 ili kuipata saini ya kiungo wa Tabora United Najim Mussa, ikizilaza chali Simba na Azam.

  8. Yanga kuweka kambi Ulaya

    IMEPITA misimu mitatu mfululizo Yanga ikijichimbia kambi ya maandalizi ya mpya mpya (pre season) ikiwa Avic Town, Kigamboni jijini Dar es Salaam, lakini safari hii huenda mambo yakabadilika baada...

    New Content Item (1)
  9. Raja yamtibulia Nabi, yabeba taji kininja

    UKISIKIA kunyang'anywa tonge mdomoni ndiko huku, baada ya Raja Casablanca kubeba ubingwa wa Ligi Kuu ya Morocco (Batola) uliokuwa unaonekana wazi upo mikononi mwa FAR Rabat inayonolewa na kocha...

  10. PRIME Mzambia alia na kina Bacca

    KOCHA wa Zesco United ya Zambia, George Lwandamina ameshangaa kuona mabeki wawili wa Taifa Stars na Yanga nahodha Bakari Mwamnyeto na Ibrahim Hamad ‘Bacca’, wakiendelea kucheza soka la ndani...

Previous

Page 38 of 70

Next