Amorim: Mastaa wangu wameniudhi! KOCHA, Ruben Amorim amekiri kuhuzunishwa na kukasirishwa baada ya Manchester United kutoka sare ya bao 1-1 na West Ham United kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliofanyika uwanjani Old Trafford...
Makundi ya mtego, visasi Kombe la Dunia Makundi ya Fainali za Kombe la Dunia 2026 yamejulikana rasmi leo, Ijumaa, Desemba 5, 2025 baada ya kukamilika kwa droo ya upangaji wake iliyofanyika huko Washington DC, Marekani.
Baada ya kuangusha pointi, Arteta atoa neno zito Mikel Arteta amesisitiza kuwa vinara wa Ligi ya Premia, Arsenal, watarejea wakiwa bora zaidi baada ya fadhaa ya kipigo cha kustua cha 2-1 walichopata kutoka kwa Aston Villa, kilichofungua upya...
Slot, Mo Salah bado pagumu KOCHA, Arne Slot amefunguka juu ya mpango wa Mohamed Salah kurejea kwenye kikosi cha Liverpool baada ya uamuzi wake wa kumpiga benchi staa huyo kuzaa matunda kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Timu tano Mabingwa Ulaya bado England ENGLAND inaendelea kushikilia tiketi ya kuwa na timu tano kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao kutokana na kufanya vizuri kwenye michuano ya Ulaya kwa wiki iliyopita.
Thibaut Courtois ataja walinda mlango watatu bora duniani Kipa wa timu ya taifa ya Ubelgiji na klabu ya Real Madrid, Thibaut Courtois, ametaja orodha ya makipa bora, ambao anaamini kwa sasa wanafanya vizuri katika soka la ushindani.
LaLiga, Bundesliga kote ni moto MAMBO ni moto. Ndicho unachoweza kusema kuhusu kurejea upya kwa ligi mbalimbali za Ulaya, ambapo kote kutakuwa na kasheshe kubwa kuanzia kwenye La Liga, Bundesliga, Ligue 1 na Serie A, kati ya...
Mike Dean...Nani Ferguson? mtata Wenger MWAMUZI, Mike Dean amefichua kwamba Sir Alex Ferguson wala hakuwa kocha mtata kwa waamuzi waliochezesha mechi za timu yake licha ya wengi kuamini alikuwa moto kwa marefa.
Amorim: Ratcliffe ametupa mzuka KOCHA mkuu wa Manchester United, Ruben Amorim anaamini maneno ya bilionea Sir Jim Ratcliffe aliyosema kwamba ana imani na kocha huyo umeamsha morali mkubwa katika kikosi hicho cha Old Trafford.
Ndugu wagawa familia Kombe la dunia MAISHA yanaweza kuwa ya ajabu, hata ya kushangaza wakati mwingine. Hilo hujitokeza hasa tunapokutana na visa vya ndugu waliozaliwa na wazazi wale wale lakini wakawakilisha nchi tofauti.