Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

690 results for Victoria Melkiad :

  1. Wananchi wafurika kwa Mkapa

    BALAA katika uwanja wa Benjamin Mkapa, kwani mashabiki wa timu ya Yanga wamejitokeza kwa wingi jambo lililosababisha foleni kubwa.

  2. Simba Day 2024, kibabe sana

    SIMBA ilimaliza msimu uliopita ikiwa nafasi ya tatu kwa kuvuna pointi 69, sawa na Azam FC waliomaliza katika nafasi ya pili, lakini Azam waliongoza kwa tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa.

  3. Baleke, Boka washusha presha… Sasa mambo freshi

    SIKU moja kabla ya kufanyika kwa Kilele cha Wiki ya Mwananchi, nyota wawili wapya wa timu hiyo, beki Chadrack Boka na straika Jean Baleke wameshusha presha ya mabosi na mashabiki baada ya sasa...

  4. Yanga yashtuka kwa Maxi

    ULIMUANGALIA Maxi Nzengeli kwenye mechi zake tatu za kirafiki za Sauzi? Mabosi wa Yanga wameshtukia jambo na kumuita mezani kuanza mazungumzo mapya ya mkataba mpya.

  5. Kocha Mkenya akabidhiwa MIKOBA Tabora United

    TABORA United msimu ujao itakuwa chini ya Kocha Mkenya, Francis Kimanzi ambaye muda wowote atatambulishwa.

  6. Yanga yafumua kikosi cha Kaizer Chief

    BAADA ya Yanga kuichapa mabao 4-0 Kaizer Cheif ya Sauzi, Mabosi wa kikosi hicho wameshtuka na kuanza hesabu kali za usajili, huku kocha akiwataka kuboresha maeneo matatu.

  7. PRIME Nabi: Yanga ni balaa!  Atoa angalizo Simba, Chivaviro asimulia

    KOCHA wa Kaizer Chiefs, Nasredine Nabi ameliambia Mwanaspoti kuwa Yanga ina mabadiliko makubwa na chochote kinaweza kumkuta yoyote msimu ujao.

  8. Mpanzu amaliza utata! Ateta na Mwanaspoti aanika dili zima la Simba

    SAA chache tangu ifahamike kwamba mabosi wa Simba wamerejesha majeshi upya kwa winga Mkongomani, Ellie Mpanzu ili kumsajili kikosini kuziba nafasi ya Kibu Denis, nyota huyo wa AS Vita amemaliza...

  9. Pacome aiwahi Kaizer Chiefs Sauzi

    KAMA ambavyo awali Mwanaspotui liliwajulisha kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua alipewa siku tano kushughulikia pasipoti yake kabla ya kuungana na wenzake kambini Afrika Kusini, taarifa...

  10. CAF yairudisha tena Yanga Dar

    KAMA ambavyo Mwanaspoti liliwahabarisha wiki iliyopita kwamba, Yanga huenda ikalainisha mambo katika Ligi ya Mabingwa Afrika mbele ya Vital’O ya Burundi, ndivyo ilivyo baada ya Shirikisho la Soka...

Previous

Page 35 of 69

Next