PRIME DENZEL: Siyo Chama, Pacome tu mpaka Tshabalala KWA wengi Ukisikia jina la Godfrey Mkinga itakuwa vigumu kujua ni nani anayezungumziwa, lakini ukitajiwa Denzel Trainer haraka utajua ni yule jamaa fundi wa kuwafua watu mbalimbali kwenye mazoezi...
Ahoua: Nyie nimewasikia subirini kazi KAMA ulimchukulia poa kiungo mpya wa Simba, Jean Charles Ahoua ulikosea kwani sasa ameanza kuuwasha moto ndani ya mechi mbili tu za Ligi Kuu Bara, na tayari ameahidi kuwa rekodi ndizo zitazungumza.
PRIME Siri ya uwezo wa Chama, Pacome mtaalamu wao afunguka SIRI ya viungo wawili Yanga ambao ni Pacome Zouzoua na Clatous Chama imefichuka, baada ya kuonekana kuwa na viwango bora hasa katika michuano ya kimataifa iliyochezwa wikiendi iliyopita dhidi ya...
Freddy Michael afichua mazito Simba SC SAA chache baada ya kutemwa na Simba, mshambuliaji Freddy Michael amevunja ukimya na kufunguka akisema alichofanyiwa imekuwa ni kama sapraizi kwani alikuwa amejipanga kufanya makubwa baada ya...
Yanga yajipiga shoti ya mabilioni, Dube aleta uhai WAKATI mashabiki wa Yanga wakiendelea kuchekelea ubora wa kikosi chao, upo moto unaoiunguza timu hiyo ndani kwa ndani.
Fei Toto apiga hesabu kali Kigali KIUNGO mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amefunguka mipango ya kikosi chao katika mchezo ujao dhidi ya APR ya Rwanda utakaopigwa Jumamosi.
Yacouba Songne matumaini kibao Bongo BAADA ya kukaa jukwaani katika mchezo uliopita dhidi ya Simba, nyota wa Tabora United, Yacouba Songne amesema alikuwa na shauku kubwa ya kucheza tena Ligi Kuu Bara, lakini sasa anahamishia nguvu...
Mousa Camara amtisha Diarra, Matampi KIPA mpya wa Simba, Mousa Camara ameweka wazi malengo yake msimu huu na kutangaza vita dhidi ya Djigui Diarra wa Yanga na Lay Matampi kutoka Coastal Union.
Dube apewa sharti Yanga SC WAKATI Prince Dube namba zake zikionekana kuwa nzuri katika kucheka na nyavu ndani ya Yanga, kocha mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi amempa sharti ambalo anaamini kama mshambuliaji huyo...
MVP Simba awatoa hofu mashabiki BAADA ya Simba kuanza Ligi Kuu Bara kwa ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora United, kiungo wa mpya wa kikosi hicho, Ahoua Charles amewatoa hofu mashabiki wao akisema hana presha na kiwango...