Chirwa, Sey tumaini jipya KenGold WAKATI kikosi cha KenGold kikiwa na mchezo jana wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba, mabosi wa timu hiyo tayari wameanza hesabu za kukinusuru mkiani, huku wakianza na majina makubwa ambayo wanaamini...
Namungo matumaini yamerejea MSHAMBULIAJI wa Namungo raia wa DR Congo, Fabrice Ngoy amesema ushindi wa mabao 3-2, dhidi ya KenGold, kwa kiasi kikubwa umewapa motisha ya kuendelea kupambana zaidi baada ya kuanza msimu vibaya.
Munthary akoleza vita na Camara, Diarra KIPA wa Mashujaa, Patrick Munthary amekoleza vita ya kuwania Tuzo ya Kipa Bora wa Ligi Kuu Bara msimu huu baada ya kufikisha ‘clean sheet’ nane, hivyo kutangaza vita na washindani wake, Moussa...
Gomez kuliamsha Chamazi MSHAMBULIAJI wa Fountain Gate, Seleman Mwalimu ‘Gomez’ huenda akauwahi mchezo wa keshokutwa Jumanne kati ya timu hiyo na Azam FC kwenye Uwanja wa Azam Complex, uliopo Chamazi Dar es Salaam, baada...
Ivo awajaza upepo Kipenye, Kipalamoto KITENDO cha washambuliaji wa Songea United, Cyprian Kipenye na Ramadhan Kipalamoto kupitia changamoto ya kutokufunga kwa takribani michezo minne ya kikosi hicho, imemuibua kocha mkuu wa timu...
Wanne tu wanatosha Transit Camp KAIMU Kocha Mkuu wa Transit Camp, Emmanuel Mwijarubi amesema katika dirisha hili dogo la usajili timu hiyo inahitaji kuongeza nyota wanne katika nafasi mbalimbali, zitakazowasaidia kuwatoa chini...
Maniche sasa aja kivingine WAKATI dirisha la usajili likifunguliwa rasmi jana kwa ajili ya klabu kufanya maboresho mbalimbali, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar, Awadh Juma 'Maniche', amesema atazingatia maeneo machache kutokana...
Kocha awaka, kisa kipa wa Azam KOCHA wa Tabora United, Mkongomani Anicet Kiazayidi amewaka na kusema ushindi iliyoupata timu hiyo juzi dhidi ya Azam FC, haukutokana na makosa ya kipa wa Wanalambalamba kama inavyosemwa na...
Kitasa chanukia Fountain Gate Fountain Gate iko hatua za mwisho za kukamilisha uhamisho wa aliyekuwa beki na nahodha wa Coastal Union, Jackson Shiga ili kuongeza makali ya safu ya ulinzi, ikiwa ni pendekezo la kocha mkuu...
Kagera yaanza na winga teleza KLABU ya Kagera Sugar iko katika hatua za mwisho za kukamilisha uhamisho wa winga wa Singida Black Stars, Edmund John kwa mkopo wa miezi sita, baada ya nyota huyo kupitia changamoto ya kukosa...