Simba yavamia Morocco kishua RS Berkane ya Tuisila Kisinda na Kocha wake Florent Ibenge imerejea Morocco ikiwa na maumivu ya kipigo cha mabao 3-1 walichopewa na Asec Memosasya Ivory Coast.
Adebayor na Simba iko hivi MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’ ameweka wazi baada ya kurudi Tanzania ataongea na rais wa heshima wa klabu hiyo, Bilionea Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ namna gani...
Pablo hatari aongeza kocha Mzungu KIKOSI cha Simba kilichokuwa uwanjani mjini Niamey, nchini Niger usiku wa Feb 20 ilipokuwa ikimalizana na US Gendermarie, kinajiandaa kuanza safari kuifuata RS Berkane ya Morocco, huku kocha mkuu...
Mugalu: Kama si majeraha, wangenikoma STRAIKA wa Simba Chris Mugalu (32) ni miongoni mwa wachezaji wanaomaliza mikataba yao mwisho wa msimu huu ndani ya kikosi hicho huku kukiwa na mazungumzo ya kumwongezea mkataba mpya. Mugalu pia...
Simba yajikita kileleni, Morrison atuma salamu Morocco WAWAKILISHI wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho Afrika Simba wamefanikiwa kupata sare ya bao 1-1, ugenini dhidi ya USGN ya Niger.
Pablo akunja noti KIKOSI cha Simba kipo Niger kikiwa na matumaini kibao dhidi ya mechi yao ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya US Gendarmarin, huku kocha mkuu Pablo Franco akikunya mkwanja wa maana.
Posho mpya za Simba Caf BONASI za wachezaji wa Simba kwenye michuano ya kimataifa zimepunguzwa, Mwanaspoti limejiridhisha. Msimu uliopita Simba ilitamba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika lakini msimu huu imeteleza na...
Simba yaleta staili mpya Caf KWA mara ya kwanza kwenye miaka ya hivi karibuni safari hii, Simba itacheza mechi ya kwanza ugenini kwa staili ya aina yake. Kutokana na ishu za usafiri hawatakuwa na ratiba ndefu Niger na...
Yanga: Tulieni, imeisha hii MTENDAJI Mkuu wa Yanga, Senzo Mazingisa ameliambia Mwanaspoti kuwa wanatambua kazi bora ya Nasreddine Nabi na ishu yake ni kama imeisha, kwani watamuongezea mkataba wa miaka miwili au mitatu...
Nabi afichua siri ya mataji KOCHA Mkuu wa Yanga, Nesreddine Nabi amefichua kitu juu ya ushindani wa Ligi Kuu Bara huku akitaja siri kuu mbili zinazoweza kuwabeba kutwaa taji msimu huu.