Kipigo chamshtua kocha Fountain Gate KIPIGO cha mabao mabao 2-0 walichopata Fountain Gate juzi kutoka kwa Ken Gold kimeonekana kumchanganya kocha mkuu wa timu hiyo, Robert Matano huku akiifungia kazi beki yake akielekeza nguvu mechi...
Chirwa ashtua, Bwenzi aendeleza moto Ken Gold ikiilaza Fountain Gate Achana na ushindi wa mabao 2-0 waliopata Ken Gold dhidi ya Fountain Gate, ishu ilikuwa ni staili ya ushangiliaji wa nyota wa timu hiyo, Obrey Chirwa ambayo imeamsha hisia tofauti kwa wadau na...
Maniche aingiwa ubaridi, City yajibu mapigo Wakati mashabiki wa Mtibwa Sugar wakianza hesabu za vidole kwa chama lao kurejea tena Ligi Kuu, kocha wa timu hiyo Awadh Juma 'Maniche' amesema bado wana kazi kubwa ya kufikia malengo hayo, huku...
Ngassa aitisha Simba mapema WAKATI Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Aman Josiah akichekelea kuanza kwa kishindo kibarua, winga machachari wa timu hiyo, Beno Ngassa, amesema mechi dhidi ya Simba itakuwa ngumu lakini wanajua...
KenGold kumalizia hasira za 6-1 Sokoine KIPIGO cha mabao 6-1 ilichopata KenGold kutoka kwa Yanga kinaiuma timu hiyo iliyosema hasira na machungu wanatarajia kumalizia kwa Fountain Gate watakaoumana nao Jumatatu kwenye Uwanja wa Sokoine...
Prisons, Pamba Jiji zafanya kweli Ligi Kuu Bara Timu za Prisons na Pamba Jiji zimeanza vizuri ngwe ya lala salama ya Ligi Kuu Bara baada ya kupata ushindi mchana kwenye viwanja viwili tofauti.
Josiah: Mashujaa tuko nao, Mwakyusa mzuka mwingi WAKATI Tanzania Prisons ikiendelea kujifua kwa ajili ya mwendelezo wa Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Aman Josiah amesema kikosi chake kipo tayari na Mashujaa wajiandae kisaikolojia...
Mangalo ndo basi tena hadi msimu ujao! BEKI wa zamani wa Biashara United na Singida Foutain Gate, Abdulmajid Mangalo amesema licha ya kuwa nje ya uwanja, lakini anatumia muda huu kuwafuatilia wachezaji kujifunza vitu kwa ajili kurejea...
Chalamanda: Yanga? Tutajuana huko huko! KIPA wa Kagera Sugar, Ramadhan Chalamanda amesema pamoja na ugumu wa mechi dhidi ya Yanga, lakini kutokana na uhitaji wa pointi tatu ’watakufa na mtu’ hadi kieleweke.
Kocha KenGold freshi, BM3 atuliza mashabiki PAMOJA na kukubali kiwango cha wachezaji, kocha mkuu wa KenGold, Vladslav Heric amesema kazi iliyobaki ni kuongeza makali eneo la ushambuliaji, huku nyota Benard Morrison ‘BM3’ akituliza upepo.