Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

698 results for Damian Masyenene :

  1. Pamba Jiji yatuma ujumbe kwa waamuzi

    Pamba Jiji imetuma ujumbe kwa waamuzi wa Ligi Kuu Bara ikionyesha masikitiko juu ya vitendo vya baadhi ya waamuzi kulazimisha matokeo yanayozifurahisha baadhi ya timu na kuziumiza nyingine.

    Pamba Pict
  2. PRIME Mastaa Ligi Kuu Bara watuhumiwa kubeti

    WAKATI kukiwa na mijadala kuhusu wachezaji wa ligi mbalimbali za soka nchini kuhusika katika michezo ya kubashiri (betting) na kupanga matokeo, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amefichua kuwa...

    Pamba Pict (1)
  3. ‘Bosi’ Alliance aagwa jijini Mwanza, TFF kushughulikia madai ada ya uhamisho wa wachezaji

    Wadau wa michezo nchini, ndugu, jamaa, marafiki, wanasiasa na wakazi wa Jiji la Mwanza wameuaga mwili wa Mkurugenzi wa Kituo cha Michezo na Shule za Alliance, James Bwire na kesho Jumamosi...

    Bosi Pict
  4. Mama wa bosi Alliance afariki siku ya kumuaga mwanaye

    Katika hali isiyo ya kawaida mama mzazi wa aliyekuwa mmiliki na mkurugenzi wa Kituo cha Michezo cha Alliance kilichopo jijini Mwanza, James Bwire, aliyefariki dunia Januari 25, 2025 naye amefariki.

  5. Pamba Jiji yapata CEO, aachiwa kufyeka mishahara

    KLABU ya Pamba Jiji imemtambulisha, Peter Rehett kuwa ofisa mtendaji mkuu (CEO), ikiwa ni takriban miezi 10 nafasi hiyo ikiwa haina mtu ikikaimiwa na meneja wa timu hiyo, Ezekiel Ntibikeha.

    Pamba Pict
  6. Wadau wamlilia Bwire, wataja vilivyombeba

    WAKATI maandalizi ya kuupumzisha mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Kituo cha Kukuza na Kulea vipaji cha Alliance, Jame Bwire yakiendelea kabla ya kuzikwa wikiendi hii, baadhi ya wadau wa michezo...

  7. Mmiliki Alliance afariki dunia, kuzikwa Februari 2

    MMILIKI wa timu za Alliance FC na Alliance Girls za Mwanza, James Bwire amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumapili (Januari 26, 2025) wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya...

  8. Nne za Pamba Jiji zampa ujanja Minziro

    KOCHA Mkuu wa Pamba Jiji, Fredy Felix ‘Minziro’ amesema mechi nne za kirafiki zitamsaidia kutengeneza muunganiko wa kikosi kati ya maingizo mapya na ya zamani na kuwa tayari kwa ushindani...

    Pamba Pict
  9. Pamba Jiji yatema sita, ishu ya Okutu pasua kichwa

    BADO Klabu ya Pamba Jiji inaumiza kichwa namna ya kumalizana na mshambuliaji, Mghana Erick Okutu ambaye mwanzo ilielezwa angejiunga na KenGold dirisha dogo la usajili lililofungwa Januari 15...

    Pamba Pict
  10. Minziro awatega mastaa wapya Pamba

    LICHA ya kusajili wachezaji 11 dirisha dogo wakiwemo saba wa kimataifa, Kocha Mkuu wa Pamba Jiji, Fredy Felix 'Minziro' amesema haitakuwa kazi rahisi kufanya vizuri, lakini itawezekana tu endapo...

    Minziro Pict
Previous

Page 4 of 70

Next