PRIME Ujio wa Elie Mpanzu wamshtua Kibu KIBU Denis 'Mkandaji' bado hajarudi katika kile kiwango alichokuwa nacho alipotua kwa mara ya kwanza Msimbazi msimu wa 2021-2022 alipofunga mabao manane, sasa wakati akiendelea kujitafua vyema...
Fadlu anasa faili la Azam WAKATI Simba ikijiandaa na kucheza ugenini kesho dhidi ya Azam FC, kocha wa kikosi hicho Fadlu David amefunguka kuwa anazo taarifa zote za wapinzani hao huku mastaa wajitapa hadharani juu ya...
Mastraika wamuachia msala Morocco WAKATI Taifa Stars ikitarajiwa kucheza mechi mbili mwezi ujao za kufuzu michuano ya Afcon 2025 dhidi ya DR Congo, washambuliaji wazawa wamezidi kuuwasha moto katika Ligi Kuu Bara, huku kocha wa...
PRIME Aziz KI afichua siri ya mkataba wake Yanga BAADA ya Yanga kuweka rekodi ya kuwachapa Waethiopia ndani-nje na kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kibabe, staa wa kikosi hicho cha Jangwani, Stephane Aziz Ki amefunguka kuwa...
PRIME Dau la Elie Mpanzu Simba KAMA ulidhani ni utani, basi utakuwa unakosea, kwani Wekundu wa Msimbazi, Simba wameamua msimu huu kufanya yao na wakati wowote watamtangaza winga mpya, Elie Mpanzu ambaye inadaiwa amevuta...
Matampi ajichomoa mapemaa Bara KIPA namba moja wa Coastal Union, Ley Matampi ametangaza kujichomoa mapema katika kinyang’anyiro cha tuzo ya kipa bora kwa msimu huu, akisema haoni tumaini la kutetea tuzo hiyo aliyotwaa msimu...
PRIME Mo afanya umafia Dar, amshusha Mpanzu usiku WAKATI Simba inaendelea kujipanga kuwang’oa Waarabu wa Libya Al Ahli Tripoli, mabosi wa klabu hiyo wana akili nyingine kubwa na bilionea Mohammed Dewji ‘MO’ amewafanyia umafia wa maana watani wao...
PRIME Yanga, Simba zavutana mashati kwa Mpanzu, iko hivi! Chanzo cha kufeli kwa mchongo huo ulianza kwa viongozi wa AS Vita, timu aliyokuwa aiichezea baada ya kupundua meza dakika za jioni.
Ushindi dhidi ya Coastal wampa jeuri Zahera USHINDI wa kwanza ilioupata Namungo mbele ya Coastal Union katika mechi ya Ligi Kuu Bara, umemfanya kocha wa timu hiyo kutamba ameanza kupata mwanga baada ya awali kupoteza michezo mitatu...
PRIME Fadlu afichua mipango ya wapinzani, amtaja Ateba SIMBA imewashtukia Waarabu kutokana na kuizuia kupata bao lolote, kisha wenyewe kuzipiga uwanjani na kocha wa Wekundu hao, Fadlu Davids akasisitiza anataka ushindi wa kishindo nyumbani.