Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1656 results for Daudi Elibahati :

  1. PRIME Fadlu alivyovunja mwiko wa miaka 22

    KOCHA wa Simba, Fadlu Davids, ameweka rekodi ndani ya timu hiyo baada ya kupata ushindi wa bao 1-0, juzi dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia. Ushindi huo ni wa kwanza ugenini kwa kikosi hicho kuupata...

    Fadlu Pict
  2. Rooney wa Kenya kutua Singida Black Stars

    WAKATI Singida Black Stars ikirejea mazoezini chini ya kocha mpya, Miloud Hamdi mwenye uraia wa Ufaransa na Algeria, mabosi wa timu hiyo wako katika hatua za mwisho za kumnasa beki wa kulia wa...

    Rooney Pict
  3. Okutu aweka ngumu Pamba Jiji

    KITENDO cha mabosi wa Pamba Jiji kutaka kumtoa kwa mkopo mshambuliaji wa timu hiyo, Eric Okutu, kambi ya mchezaji huyo Mghana imeibuka na kudai haikubaliani na jambo hilo, isipokuwa kwa sharti...

  4. Saido atoa masharti ya kutua KenGold

    WAKATI mabosi wa KenGold wakipigia hesabu za kumsainisha aliyekuwa kiungo wa Yanga na Simba, Mrundi Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’, nyota huyo ameweka masharti mapya kwa viongozi wa timu hiyo ya...

  5. Championship ngoma inogile

    WAKATI ukibaki mchezo mmoja kuhitimisha mzunguko wa kwanza wa Ligi ya Championship kwa msimu huu wa 2024-25, tayari yapo matukio mengi yaliyojitokeza, kuanzia ushindani kwa timu zenyewe...

  6. Kapama akizingua, Loth anatua Fountain

    WAKATI mabosi wa Fountain Gate wakiendelea kusaka kocha mpya baada ya kumtimua Mohamed Muya, pia wako katika hesabu za kumpata aliyekuwa kiungo wa Mbeya City, Yanga na Singida Black Stars (zamani...

    Kapama Pict
  7. Straika Coastal Union atwishwa zigo

    KOCHA wa Coastal Union, Juma Mwambusi amesema mshambuliaji mpya wa kikosi hicho raia wa Mali, Amara Bagayoko atakuwa na msimu bora ndani ya timu hiyo kutokana na uwezo alionao, licha ya kutopata...

    Coastal Pict
  8. Makonga, Kelvin waipa nguvu Mbeya City

    KOCHA wa Mbeya City, Salum Mayanga amesema hadi sasa timu hiyo ya jijini Mbeya iko katika mwelekeo mzuri, hasa baada ya kuwanasa aliyekuwa kipa wa Biashara United, Diey Makonga na mshambuliaji...

  9. Mkali wa mabao KenGold akimbilia Namungo

    KLABU ya Namungo iko katika hatua za mwisho za kukamilisha uhamisho wa mshambuliaji wa KenGold, Joshua Ibrahim baada ya kufikia makubaliano binafsi na nyota huyo, aliyekitumikia kikosi hicho cha...

    Mkali Pict
  10. Kabamba, Duah watimkia KenGold

    MABOSI wa KenGold wako katika harakati za kukisuka kikosi hicho ili kisishuke daraja na tayari wamemali-zana na aliyekuwa nyota wa Yanga Mzambia, Erick Kabamba na kiungo Mghana Stephen Duah...

    Kibamba Pict
Previous

Page 28 of 166

Next