Israel Mwenda kutua Yanga lilikuwa suala la muda tu ZIKIWA zimesalia siku nne kabla ya dirisha dogo la usajili kufunguliwa Desemba 15 mwaka huu, Yanga imemtambulisha beki wa kulia, Israel Mwenda kuwa usajili wao wa kwanza.
Benchikha ataja makosa matatu ya kufanana Simba, Yanga Kocha wa zamani wa Simba, Abelhak Benchikha ametaja makosa matatu ambayo Simba na Yanga zinapaswa kuyafanyia kazi kwa haraka kama wanataka kutoboa kimataifa.
Matampi afichua kilichomwondoa Coastal SAA chache baada ya uongozi wa Coastal Union kutangaza kumalizana na kipa wake Ley Matampi, Mkongomani huyo ameibuka na kutaja sababu za kuachana na kikosi hicho.
Coastal yaachana na Ley Matampi UONGOZI wa Coastal Union, umetangaza kuachana na kipa wake, Ley Matampi baada ya kufikia makubaliano ya pande mbili kuvunja mkataba huku mwenyewe akisema kwamba ni uamuzi sahihi. Matampi ambaye...
PRIME Fadlu: Mpanzu atapindua meza kibabe IMEBAKIA muda mchache tu kabla ya mashabiki na wanachama wa Simba kumuona staa wao Mkongomani, Elie Mpanzu uwanjani lakini Kocha Fadlu Davids ameweka wazi jinsi atakavyopindua mezani kwenye...
Kennedy, Manyama kuchomolewa Singida Black Stars WAKATI dirisha la usajili likikaribia kufunguliwa, Singida Black Stars itaingia sokoni kusaka beki wa kati na mshambuliaji katika kukiongezea nguvu kikosi chake.
PRIME Ramovic aigomea Yanga usajili dirisha dogo KIKOSI cha Yanga jana usiku kilikuwa uwanjani kumenyana na MC Alger ya Algeria katika mechi ya pili ya Kundi A ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku nyuma kocha mkuu wa timu hiyo akifanya mambo mawili...
PRIME Algeria kumechangamka, Benchikha auza faili Yanga YANGA wameshatua Algeria kwa ajili ya mchezo wa pili wa kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika wakiwafuata wenyeji wao, MC Alger ambao wanakutana Jumamosi, wiki hii jijini Algiers.
PRIME Hapa Fei, pale Ahoua moto utawaka WAKATI Simba alfajiri ya leo ikiondoka kwenda Algeria, kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Jean Charles Ahoua ameonekana kumkosha zaidi kocha Fadlu Davids kutokana na mchango alionao kikosini.
PRIME Yanga yaruka mtego wa Waalgeria HII inaweza kuwa habari njema kwa Yanga baada ya taarifa kutoka Algeria kubainisha kwamba mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika Kundi A dhidi ya MC Alger utachezwa palepale ulipopangwa na...