DONDOO: Prisons 0-1 Kagera Sugar wachezaji Oscar Paul na Samson Mbangula katika dakika ya 17 na 66. Kipigo cha bao 1-0 walichopata Tanzania Prisons dhidi ya Kagera Sugar leo kinafikisha mechi nane kati ya michezo 15...
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Pogba na mzimu wa Ronaldo halisi NI jina linalochukiwa zaidi na Wareno na mashabiki wa Manchester United. Hawataki kabisa kusikia Ronaldo de Lima akiitwa ‘The Real Ronaldo’. Kwao ni kijembe kwa shujaa wao Cristiano Ronaldo.
Mpole apewa wiki moja Geita kuyaweka wazi. Mpole ndiye staa pekee ambaye hadi sasa hajawasili kambini kati ya wale walioripotiwa kutoweka kutokana na kudai stahiki zao huku wengine wakiwa ni Said Ntibazonkiza, Samson...
DONDOO 8 ZA MECHI: Tanzania Prisons 2-4 Geita Gold . Bao alilofunga Oscar Paul (Prisons) ndio bao lake la kwanza msimu huu kwenye Ligi Kuu kama ilivyo kwa Danny Lyanga, Shawn Oduro na Yusuph Kagoma wa Geita Gold. Kagoma anakuwa mchezaji wa...
Hivi unajua hata Simba SC bado haijafanikiwa UKIONA timu inashangilia na kufanya jambo kubwa kuingia hatua ya makundi kwenye mashindano madogo ya CAF usiwacheke au kuwazuia kwa sababu wametimiza lengo au ndiyo faraja waliyoipata ambayo...
Minziro akifumua kikosi Geita, Mjapan benchi BEKI wa kati, Shown Oduro raia wa Ghana leo kwa mara ya kwanza ataitumikia timu hiyo katika mchezo wa Ligi Kuu tangu asajiliwe dirisha kubwa huku kiungo Mjapani, Shinobu Sakai akianzia benchi.
Ishu ya Saido, Geita Gold iko hivi VIONGOZI wa Geita Gold wamemalizana na kiungo wake mshambuliaji, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ baada ya kutoweka kambini na hata mastaa wengine waliokuwa hawapo wamerejea.
Mastaa sita watoweka Geita Gold KIKOSI cha Geita Gold kinaendelea kupukutika baada ya idadi ya wachezaji muhimu kudaiwa kujiweka pembeni kutokana na madai yao ya kimaslahi na sasa kufikia saba huku uongozi ukisisitiza kuwa...
MASTORI YA OSCAR: Kuna jipya kwa Khalid Aucho? KWA mujibu wa Idara ya Tafiti za kidunia, madaktari ndio watu wanaoaminika zaidi duniani. Wanabeba 54% kwa kuaminika. Wakifuatiwa na wanasayansi wanaoaminika kwa 51%, huku waalimu wakishika...
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Aishi Manula huyu mh! AISHI Manula ni kipa mzuri sana. Ana vitu vingi ukilinganisha na makipa wetu wazawa wengine waliopo Ligi Kuu. Kuanzia kwa kina Metacha Mnata, Aboutwalib Msheri, Beno Kakolanya na kadhalika. Kwa...