Vipigo vikubwa hatua ya makundi CAFCL WAKATI hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikiisha na sasa ikisubiriwa tu michezo ya robo fainali, tumeshuhudia vipigo vikali na vya fedheha ambavyo vimetokea na kuacha simanzi katika...
PRIME Simba kupita njia hii CAF SIMBA SC imefuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kibabe baada ya kuifunga CS Constantine ya Algeria mabao 2-0, na kuongoza kundi A kwa kufikisha pointi 13 ikiwaacha Waarabu...
Mastaa wamkosha Mfaransa Singida Black Stars KOCHA wa Singida Black Stars, Mfaransa Miloud Hamdi amesema hadi sasa kikosi hicho kiko katika mwelekeo mzuri ingawa ana kazi kubwa ya kufanya kwenye mzunguko huu wa pili wa Ligi Kuu Bara...
Mastraika Mbeya wamkosha Massawe KATIKA kuhakikisha Mbeya Kwanza inafanya vizuri ili kutimiza malengo ya kucheza Ligi Kuu Bara msimu ujao, kocha wa timu hiyo, Emmanuel Massawe ameweka wazi kuridhishwa na safu yake ya...
Ongala: Chilunda atawashangaza BAADA ya KMC kukamilisha usajili wa mshambuliaji, Shaaban Idd Chilunda, kocha wa kikosi hicho Kally Ongala amesema nyota huyo atawashangaza wengi kutokana na uzoefu aliokuwa nao, huku akiweka...
Madenge aja kivingine Biashara United KOCHA wa Biashara United, Omary Madenge amesema kwa sasa kikosi hicho kinapigania kubaki katika Ligi ya Championship kwa msimu ujao, baada ya malengo yao ya kukipandisha Ligi Kuu Bara kukwama...
Sabilo, Ludovick waongeza mzuka TMA BAADA ya TMA kukamilisha uhamisho wa aliyekuwa nyota wa JKT Tanzania, Sixtus Sabilo na kiungo Venance Ludovick, katibu mkuu wa timu hiyo, Christopher Marcus amesema wachezaji hao watakuwa na...
Matano akomalia mifumo Fountain Gate KOCHA wa Fountain Gate, Mkenya Robert Matano amesema anahitaji zaidi ya wiki mbili ndani ya kikosi hicho ili wachezaji wa timu hiyo waweze kuendana na mifumo yake, licha ya kukiri mapokezi kwa...
Yanga yakwama kwenda robo CAFCL YANGA imeshindwa kukata tiketi ya kucheza robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara ya pili mfululizo baada ya jioni hii kulazimishwa suluhu na MC Alger ya Algeria kwenye Uwanja wa...
Mserbia apewa masharti KenGold KenGold imefikia makubaliano ya kumpa mkataba wa miezi sita kocha mpya raia wa Serbia, Vladislav Heric iliyomtambulisha jana Jumamosi, huku akipewa masharti ya kuhakikisha kikosi hicho chenye...