PRIME Yanga, Singida Black Stars zagongana dirisha dogo YANGA imerudi kwa mshambuliaji wa Ghana aliyekuwa katika hesabu tangu msimu uliopita, huku Singida Black Stars ikiwa tayari kwenye mazungumzo naye.
Maabad aziingiza vitani Coastal, Tabora United MSHAMBULIAJI wa Coastal Union, Maabad Maabad ameziingiza vitani Tabora United na klabu anayoichezea sasa aliyomaliza nayo mkataba, baada ya kila upande kutaka kupata huduma yake, Wagosi wakitaka...
Ramovic amtaja anayeipa jeuri Yanga Ushindi wa mechi nne mfululizo za Ligi Kuu Bara kwa Yanga tangu ianze kufundishwa na Kocha Sead Ramovic, umewafanya mashabiki wa timu hiyo kupata jeuri ya kurudi kwenye mbio za ubingwa.
PRIME Ramovic, Job wana jambo lao Yanga KOCHA wa Yanga, Sead Ramovic na nahodha msaidizi wa timu hiyo, Dickson Job ni kama wametofautiana juu ya kasi na mwenendo wa timu hiyo iliyoshinda mechi tatu mfululizo za Ligi Kuu tangu ilipotoka...
Siku 39 Ramovic alivyoibadili Yanga Novemba 15, 2024, Sead Ramovic alitambulishwa kuwa Kocha Mkuu wa Yanga ikiwa ni muda mchache baada ya klabu hiyo kutangaza kuachana na Miguel Gamondi.
PRIME Huyu ndo Dube wa Ramovic Ramovic alitaja mambo ambayo Yanga walifanya kwa ajili ya kumsaidia nyota huyo Mzibabwe na mafanikio yake ya sasa ni matunda ya mambo waliyofanya.
Yacouba aivutia kasi Simba SC TABORA United bado ina hasira za kichapo cha mabao 3-0 ilichopewa na Simba katika mechi ya duru la kwanza ambacho iliwakosa mastaa wake wa kigeni kutokana na ishu za vibali, na sasa inasubiri kwa...
PRIME Ramovic amchomoa straika mpya Yanga KABLA ya kuondoka Yanga, kocha Miguel Gamondi alileta straika mpya na kujifua na kikosi cha timu hiyo kambini, Avic Town, akisubiri kusaini mkataba wakati huu wa dirisha dogo, lakini alichokutana...
PRIME Fadlu wala hana haraka SIMBA jana jioni imepata ushindi wa mabao 5-2 ugenini dhidi ya Kagera Sugar, huku Ellie Mpanzu akianza kwa mara ya kwanza, lakini mashabiki wa timu hiyo wanaona kama bado kikosi hicho kina haja...
PRIME Simba yafuata fundi Uganda KIKOSI cha Simba kipo mjini Bukoba, mkoani Kagera kumalizana na wenyeji wao, Kagera Sugar katika mechi ya Ligi Kuu Bara, lakini unaambiwa mabosi wa klabu hiyo wanapiga hesabu kali ya kuimarisha...