Pamba yaendelea kuoga noti za Makalla Mwanza. WACHEZAJI na benchi la ufundi la Pamba Jiji wameendelea kupokea mamilioni ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Amos Makalla kutokana na matokeo mazuri wanayoyapata kwenye Ligi ya Championship...
Ngadu, Mrwanda waongeza mzuka Copco FC TIMU ya Copco FC ya Mwanza imeongeza dawa ya kuepuka kushuka Ligi ya Championship baada ya kuamua kuwachukua washambuliaji wakongwe Dany Mrwanda, Salum Ngadu na Morice Mahela kwenye dirisha dogo...
Tegete amgomea Grant, aipa Stars matumaini KOCHA Mkongwe nchini, John Tegete amesema watu hawapaswi kuibeza timu ya taifa ‘Taifa Stars’ licha ya kupangwa kundi gumu kwenye Kombe la Mataifa Afrika (AFCON), linaloendelea nchini Ivory Coast,...
JKT Queens yaichapa Amani 10-0, Bunda Queens yazinduka Mwanza. MOTO wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake, JKT Queens hauzimiki kwani licha ya kucheza michezo mitatu mfululizo ugenini lakini timu hiyo imekuwa moto wa kuotea mbali kwa kushusha...
Tegete aibukia Mwadui FC, aanza na ushindi KOCHA mkongwe nchini, John Tegete ameingia makubaliano ya kuifundisha timu ya Mwadui FC kwa muda hadi mwisho wa msimu huu, huku akianza kibarua chake kwa ushindi dhidi ya Alliance FC katika...
Vipigo vyatibua Alliance, makocha njiapanda Benchi la ufundi la timu ya Alliance FC muda wowote huenda likapewa mkono wa kwaheri na uongozi kutokana na mwenendo mbaya katika michuano ya First League, huku kukosekana amani ndani ya kikosi...
Pamba yafunga mwaka kibabe, yaichakaza Mbuni Mwanza. TIMU ya Pamba Jiji imeufunga mwaka 2023 kibabe kwa kupata ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Mbuni FC ya Arusha katika mchezo wa Ligi ya Championship. Pamba imepata ushindi huo leo...
Yanga yapiga mtu 6-1, JKT Queens chupuchupu Ligi Kuu ya Wanawake Bara imeendelea leo kwa mechi za mzunguko wa pili kupigwa, huku Yanga Princess ikiendeleza vichapo kwa wapinzani wake ambapo imeinyuka Amani Queens ya Lindi kwa mabao 6-1.
Mashujaa yaanza na straika wa Stand United TIMU ya Mashujaa FC imeanza kufanya maboresho katika kikosi chake kwenye dirisha dogo la usajili ikianza kwa kumsajili mshambuliaji wa Stand United ya Shinyanga, Emmanuel Mtumbuka. Mtambuka...
Kitambi aanza na kibabe Geita Gold Mwanza. KOCHA Mpya wa Geita Gold, Denis Kitambi na msaidizi wake, Lucas Mlingwa wameanza vyema kibarua chao ndani ya timu hiyo baada ya kuiongoza leo kupata ushindi kwenye mchezo wake wa Ligi Kuu...