Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1655 results for Daudi Elibahati :

  1. Mkongomani kiroho safi Dodoma Jiji

    Beki huyo wa kati mwenye uwezo wa kucheza upande wa kulia au kushoto kwa ufasaha, alisema haogopi changamoto zozote kwa sasa katika maisha yake, huku akiweka wazi usajili mpya katika dirisha dogo...

    New Content Item (1)
  2. Huku Championship mambo hayapoi, kinapigwa tena leo

    UHONDO wa Ligi ya Championship unaingia mzunguko wa 17, wikiendi hii na baada ya jana kuchezwa michezo mitatu kwenye viwanja tofauti, leo itapigwa mingine mitatu kuwania pointi tatu.

    Championship Pict
  3. Gamondi aibukia Libya

    ALIYEKUWA kocha wa Yanga raia wa Argentina, Miguel Gamondi amekubali kujiunga na timu ya Al Nasr ya Libya baada ya kukaa nje ya uwanja kwa takribani miezi miwili, tangu alipoachana rasmi na...

    New Content Item (1)
  4. Matano atengeneza mtambo wa mabao Fountain Gate

    KOCHA wa Fountain Gate, Mkenya Robert Matano amesema anatengeneza namna ya kuunganisha washambuliaji watatu nyota wa kikosi hicho katika michezo ya mzunguko huu wa pili, unaoanza kesho baada ya...

    New Content Item (1)
  5. Nyota Tabora United freshi kuivaa Simba

    NYOTA watatu wa 'Nyuki wa Tabora' Tabora United, waliokuwa wanahofiwa kukosa mchezo wa Jumapili hii ya Februari 2, dhidi ya Simba, wamekamilisha taratibu zote hivyo kwa sasa wako tayari kwa ajili...

  6. Nani katisha, nani kazingua usajili dirisha dogo?

    WAKATI Ligi Kuu Bara ikirejea kuanzia Februari Mosi baada ya kupisha michezo ya Kombe la Mapinduzi iliyokuwa ikifanyika visiwani Zanzibar, tumeshuhudia klabu zikifanya uhamisho wa nyota...

  7. PRIME Imefichuka! Ujanja wa Fadlu uko hapa tu

    KIKOSI cha Simba kinajiandaa kuondoka Dar es Salaam kwenda Tabora kwa ajili ya pambano la kiporo cha Ligi Kuu Bara, huku kikiwa kinaongoza msimamo wa ligi hiyo, lakini ikianikwa siri zinazombeba...

    New Content Item (1)
  8. Gomez aja kivingine Fountain Gate

    MSHAMBULIAJI nyota na kinara wa mabao wa Fountain Gate (FOG), Selemani Mwalimu ‘Gomez’ ameanza mazoezi baada ya kuwa nje tangu Desemba 29, mwaka jana kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya nyama...

  9. Wazambia kunogesha Makarasha

    WAKATI KenGold ikitarajia kufanya tamasha leo, Jumatano kutambulisha wachezaji na benchi la ufundi, kikosi hicho kinatarajia kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Real Nakonde ya Zambia.

  10. Kagera Sugar yaivutia kasi Yanga

    KAGERA Sugar imetamba kwamba haiifuati Yanga jijini Dar es Salaam kinyonge, bali imejipanga kukabiliana ipasavyo na mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Bara katika mchezo utakaopigwa Jumamosi, wiki...

Previous

Page 23 of 166

Next