Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

754 results for Nevumba Abubakar :

  1. Gets Program kurudi upya WPL

    KOCHA wa Get Program iliyopanda daraja msimu huu, Aristides Ngowi licha ya kuwa na wachezaji wengi vijana ambao hawana uzoefu na ligi, lakini wanapambana jambo linalowapa motisha ya kujipanga...

    Gets Pict
  2. Hili hapa chama la Malaika Meena England

    NYOTA wa Kitanzania, Malaika Meena amesema ana furaha kubwa kujiunga na Bristol City inayoshiriki Ligi ya Wanawake ya Championship ya England, huku akitaja malengo yake ni kuipandisha timu ligi kuu.

    Malaika Pict
  3. Simba, Yanga kazi ipo Machi 4

    DABI ya watani wa jadi inayowakutanisha Simba na Yanga itapigwa Machi 4 baada ya mapumziko ya siku 30 ya Ligi. Dabi hiyo ya Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) inapigwa siku nne tu kabla ya watani hao kwa...

    Watani Pict
  4. Ushindi mechi nne mfululizo wamkosha Mourinho

    KOCHA wa Yanga Princess, Edna Lema 'Mourinho' amesema ushindi wa mechi nne mfululizo kwenye ligi zinachangiwa na juhudi za wachezaji wake waliopambana hasa duru la pili.

    Edna Pict
  5. Ndugu zake Aziz KI, Diarra washushwa Dar

    WAKATI Ligi ya Wanawake ikisaliwa na mechi sita, Ligi ya Mkoa nayo ikitarajiwa kuanza, Ukerewe Queens ambayo kwa sasa inaitwa Tausi FC imefanya usajili wa maana kujiandaa na ligi hiyo ikiwaleta...

    Ndugu Pict
  6. Moto wa Clara Luvanga wawatisha Waarabu

    MOTO wa straika wa Al Nassr ya Saudi Arabia, Clara Luvanga haupoi na safari hii anawania tuzo ya mchezaji bora wa mwezi mbele ya Waarabu.

    Luvanga Pict
  7. Charles M'Mombwa mdogo mdogo Newcastle

    KIUNGO Mtanzania, Charles M'Mombwa anayekipiga Newcastle Jets ya Australia taratibu anaanza kuingia kwenye kikosi hicho kinachoshiriki Ligi Kuu ya nchini humo.

    Mmombwa Pict
  8. Mnamzingatia Novatus Miroshi? lakini...

    ACHANA na beki Ibrahim Abdullah 'Bacca' wa Yanga kuingia kambani mara nne akiwa ni beki pekee mwenye mabao mengi Ligi Kuu, kuna kiraka Novatus Miroshi wa Goztepe ya Ligi Kuu ya Uturuki (Süper...

    Miroshi Pict
  9. Opah amfuata Singano Mexico

    NAHODHA wa timu ya Taifa ya wanawake ya Twiga Stars, Opah Clement amejiunga na FC Juarez ya Mexico anayochezea Mtanzania mwenzake, Julietha Singano.

    Opah Pict
  10. Huyu anamkaba Gomez Wydad AC

    WIKI iliyopita Singida Black Stars iliripoti kuwa imemuuza mshambuliaji wake Mtanzania Selemani Mwalimu ‘Gomez’ kwenda Wydad AC ya Morocco.

    Gomez Pict
Previous

Page 22 of 76

Next