Yanga, Simba kujua wapinzani CAF Agosti 6, bingwa kuondoka mabilioni SAFARI ya kuwania ubingwa wa mashindano ya klabu barani Afrika kwa msimu wa 2026/27 itaanza rasmi Alhamisi, Agosti 6, wakati Shirikisho la Soka Afrika (CAF) litakapofanya droo ya hatua za awali...
Georgina afunguka uhusiano wake na Cristiano Jr MCHUMBA wa nyota wa Al-Nassr na Ureno, Cristiano Ronaldo, Georgina Rodriguez, ameeleza jinsi anavyothamini muda anaoutumia na Ronaldo pamoja na mtoto wake wa kwanza, Cristiano Jr, akisema likizo...
Ronaldo waache waoane... alikuwa na hawa pia SUPASTAA wa soka duniani, Cristiano Ronaldo, anaripotiwa kuwa huenda akafunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu, Georgina Rodriguez.
Air Jordan 3 yapata sura mpya, baada ya miaka 40 Toleo jipya la viatu vya Air Jordan 3 limekuja na muundo unaohifadhi utambulisho wa asili wa viatu hivyo, huku likiongeza maboresho ya kisasa yanayovifanya vijitofautishe na matoleo yaliyotangulia.
Mtihani mgumu Arsenal kutetea ubingwa 2026/27 BAADA ya kuifunga MK Dons mabao 3-0 katika mechi ya kirafiki wiki mbili zilizopita, Arsenal ilitarajiwa kuanza rasmi maandalizi ya msimu mpya kwa mechi dhidi ya Girona juzi, Jumamosi jioni kabla...
Arsenal, Man City zatawala ubashiri wa ubingwa EPL MABINGWA watetezi Arsenal pamoja na Manchester City zinaendelea kutajwa kuwa timu zenye nafasi kubwa zaidi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England msimu wa 2026/27, kufuatia ubora waliouonyesha...
Mtego wa namba, ubora utakavyoamua Ballon d’Or WAKATI tuzo za Ballon d’Or mwaka huu zikiendeleza mjadala mpana wa ni nani atayechukua kwa mara ya kwanza zinapofanyika nje ya Paris, Ufaransa, mastaa sita wameendelea kung’ang’ania katika nafasi...
LeBron hafikii ukali wa Jordan, Kobe MJADALA wa nani ndiye mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea katika historia ya NBA umeendelea kugawanya maoni kwa miaka mingi, huku majina ya Michael Jordan, Kobe Bryant na LeBron James yakitajwa...
England, Wales zamgeuka Infantino mbio za urais FIFA Chama cha Soka cha England (FA) kimeungana na Shirikisho la Soka la Wales kupinga azma ya Gianni Infantino ya kugombea tena urais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA).
Bruno Guimaraes atua kambini Newcastle, dili la Arsenal lapamba moto Nahodha wa Newcastle United, Bruno Guimaraes, anatarajiwa kujiunga na kambi ya mazoezi ya timu hiyo nchini Hispania huku tetesi za kuhamia Arsenal zikiendelea kushika kasi.