Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

701 results for Damian Masyenene :

  1. Singida FG, Mtibwa mechi ya wanyonge

    Mwanza. WAKATI kesho Singida Fountain Gate ikiikaribisha Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu, itakuwa kwenye presha kubwa ya kumaliza ukame wa kutopata ushindi miezi mitatu, huku wageni wao...

  2. Azam yainyoosha Singida, yaipumulia Yanga kileleni

    AZAM FC imepata ushindi wa kwanza katika mechi tatu ilizocheza ugenini baada ya kuichapa Singida Fountain Gate kwa bao 1-0 kwenye mchezo mgumu uliopigwa Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza...

  3. Kufungwa kwa Singida, Gadiel, Onyango watajwa

    SINGIDA Fountain Gate imepasuka tena jioni ya leo mbele ya Azam FC, huku langoni akisimama kipa Beno Kakolanya, lakini mapema kipa huyo amefichua kinachoiangusha timu hiyo kwa sasa ni kuondoka...

  4. Ihefu yazifuata Yanga, Singida kibabe, Championship zapukutika

    Ihefu imeungana na timu nyingine za Ligi Kuu, Yanga, KMC, Namungo, Singida Fountain Gate, Geita Gold, Mashujaa, Tabora United, Geita Gold na Mtibwa Sugar kutinga hatua ya 16 bora ya Kombe la...

    New Content Item (1)
  5. Mangalo, Kagoma wamvuruga Msauzi Singida FG

    Kocha Mkuu wa Singida FG, Thabo Senong amesema kukosekana nyota wake wawili kiungo mkabaji, Yusuph Kagoma na beki wa kati, Abdulmajjid Mangalo kimewapa mtihani kwenye mechi zao za hivi karibuni.

  6. Singida yatinga 16 bora Shirikisho

    Mwanza. Singida Fountain Gate, imesonga mbele katika hatua ya 16 bora michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), baada ya kuifunga FGA Talents mabao 2-0. Timu hiyo imepata ushindi huo leo...

  7. Tchakei, Rupia wanafunga tu Ihefu ikilipa kisasi kwa Geita Gold

    Mwanza. Gari la Ihefu limewaka. Wakali hao wameendelea kutoa vichapo kwa wapinzani Ligi Kuu baada ya usajili mkubwa walioufanya kwenye dirisha dogo kwa kuwaleta mastaa kibao akiwemo mshambuliaji,...

  8. Kocha Simba amkingia kifua Fredy

    Kocha wa makipa wa Simba Daniel Cadena, amesema benchi la ufundi la timu hiyo linaamini mshambuliaji wao mpya, Fredy Michael, ataanza kufunga mabao hivi karibuni pamoja na kwamba anakosa sana...

  9. Yanga, Makonda waichangia Pamba Jiji

    Mwanza. KLABU ya Pamba Jiji leo imeendesha harambee maalum ya kukusanya fedha za kuiwezesha kupanda daraja kwenda Ligi Kuu msimu huu, ambapo jumla ya Sh177.3 milioni zimechangwa na kuahidiwa...

  10. Kocha amkingia kifua straika Simba

    KOCHA wa makipa wa Simba Daniel Cadena, amesema benchi la ufundi la timu hiyo linaamini kuwa mshambuliaji wao mpya, Fredy Michael, ataanza kufunga mabao hivi karibuni pamoja na kwamba anakosa...

Previous

Page 22 of 71

Next