Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1182 results for Charles Abel :

  1. AKILI ZA KIJIWENI: Aziz Ki asiwachukulie poa wale Yanga

    ILE Yanga sio timu yenye rafiki au adui wa kudumu. Muda wowote unaweza kuwa rafiki yao na dakika sifuri wanaweza kukugeuka ukawa adui wao.

    Aziz Pict
  2. Ligi Kuu Bara imesimama na utamu wake

    Ligi Kuu ya NBC msimu huu wa 2024/2025 imesimama kupisha mapumziko ya kupisha kalenda ya mechi za timu za taifa ambapo kwa hapa Afrika kutakuwa na mechi za kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya...

    LIGI KUU Pict
  3. PRIME Simba yatuma salamu Angola, yaituliza Bravos mapema

    HIZI ni habari njema kwa Simba ambayo inajiandaa kuivaa timu ya Onze Bravos katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika na mashabiki wa Msimbazi watapenda kuzisikia.

    Simba Pict
  4. AKILI ZA KIJIWENI: Dirisha dogo ni mwenye nguvu mpishe

    TUNATAMANI sana kuona dirisha dogo la usajili msimu huu lifike hapo mwezi Desemba kuanzia tarehe 15 ili hicho ambacho timu zinakipigia hesabu tuone kama kitatimia.

    Dirisha Pict
  5. AKILI ZA KIJIWENI: Minziro, Medo wana nafasi ya kutoboa

    KIJIWENI hapa hatukushangaa kuona Pamba Jiji ikimchukua Felix Minziro kumrithi Goran Kopunovic baada ya kumtimua kama ambavyo Kagera Sugar walifanya kwa Melis Medo baada ya kuachana na Paul Nkata.

    Medo Pict
  6. AKILI ZA KIJIWENI: Bora Msuva, Kapombe walivyorudi Stars

    MJADALA hapa ni uteuzi wa kikosi cha Taifa Stars ambacho kitacheza mechi mbili za kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika (Afcon) 2025 dhidi ya Ethiopia na Guinea hapo baadaye.

    Msuva Pict
  7. Azam Complex na nuksi ya kadi nyekundu Ligi Kuu

    Mzimu wa kadi nyekundu unaonekana kutawala katika Uwanja wa Azam Complex kulinganisha na viwanja vingine vinavyotumika kwa Ligi Kuu msimu huu.

  8. AKILI ZA KIJIWENI: Kwa Pacome Tuweke akiba ya maneno

    PACOME atabaki Yanga kwa kuongeza mkataba mpya au ataondoka na kujiunga na timu nyingine ndivyo tunavyojiuliza hapa kijiweni.

  9. AKILI ZA KIJIWENI: Marefa wanashindana kufanya makosa

    KUIGA kitu kizuri sio jambo baya na hasa kile kinachoigwa kinagusa moja kwa moja umma kwa hisia chanya badala ya hasi.

  10. AKILI ZA KIJIWENI: Wanaotamani Mtibwa irudi Ligi Kuu ni wengi

    MTIBWA Sugar ni kama yule mnyama anaitwa Ngekewa ambaye porini anapendwa na kundi kubwa la wanyama wenzake.

    Mtibwa Pict
Previous

Page 22 of 119

Next