Goran ambeba Yona, alili bao Chamazi PAMBA Jiji bado inaendelea kujitafuta baada ya kurejea Ligi Kuu ikiwa imepita miaka 23 tangu iliposhuka daraja, lakini kocha wa timu hiyo, Goran Kopunovic akimtaja kipa Yona Amos kama mchezaji...
Winga Mtanzania nje wiki moja Thailand WINGA Mtanzania anayeichezea Hua Hin City FC inayoshiriki Ligi Daraja la Pili Thailand, John Mgong'os amesema atakuwa nje ya uwanja kwa wiki akiuguza jeraha la paja.
Tabasamu la matumaini limerejea usoni mwa Mdamu NYOTA wa zamani wa Polisi Tanzania, Gerald Mathias Mdamu tabasamu la matumaini limerejea usoni mwake baada ya Ijumaa iliyopita kufanyiwa upasuaji na kushukuru kwa kila aliyechangia...
PRIME Kwa Gamondi kila kitu kinawezekana UNAWEZA kusema Kocha Miguel Gamondi amekuja Yanga kwa ajili ya kufanya yasiyowezekana yawezekane kwani mpaka sasa ameifanya timu hiyo kuwa tishio katika michuano ya ndani na ile ya kimataifa.
9 Bara bado hakijaeleweka WAKATI Ligi Kuu ikichezwa mechi tatu kwa baadhi ya timu, hali imeonekana kuwa tete kwa miamba tisa kutoonja ladha ya ushindi wala bao na nyingine zikiambulia vichapo.
Tanzania yakaza msuli Kombe la Dunia T20 MIKUMI imeishinda tena Ngorongoro kwa mikimbio 11 katika mechi ya mwisho ya majaribio kwa nyota wa timu ya taifa wanaonolewa kwa ajili ya michuano ya kufuzu kombe la dunia inayoanza jijini wiki hii.
Tanzania, China waliamsha Tenisi ya Meza NYOTA watano wa timu ya taifa ya mpira wa Meza (Table Tennis) ni miongoni mwa waliochuana katika msimu mpya wa mashindano ya mchezo huo ya Kombe la Urafiki kati ya China na Tanzania.
Fadlu: Kijili anachangamoto inayohitaji muda kuisha IKIWA imesalia saa chache kabla ya Simba kushuka kwenye Uwanja wa Juni 11, jijini Tripoli Libya kuvaana Al Ahli Tripoli, kocha wa kikosi hicho cha Msimbazi, Fadlu Davids amemtaja Kelvin Kijili...
Simba sasa ndo mtaijua SIMBA inacheza mechi ya kwanza katika michuano Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu ikiwa ugenini dhidi ya Al Ahli Tripoli leo na hakika sasa ndio mtawajua Wekundu wa Msimbazi.
Tabora Utd, yabanwa nyumbani WENYEJI Tabira United imeshindwa kuendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu Bara baada ya jioni hii kulazimishwa suluhu na Tanzania Prisons ambayo haijaonja kabisa ushindi msimu huu.