Simba, Yanga kila kona mpaka pachimbike Singida itakuwa ni msimu wake wa kwanza kwenye ushiriki wa mashindano hayo kwa upande wa timu za Tanzania Bara huku Azam FC ndiye kinara wa kutwaa mataji ya mashindano hayo akichukua mara tano.
Waamuzi wafungiwa muda usiojulikana CHAMA cha Soka Mkoa wa Mjini Magharib kimewasimamisha waamuzi wawili na kumfungia kutochezesha ligi mmoja kwa kushindwa kumudu Sheria 17 za soka. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa...
Kipanga kusaka pumzi Simba UONGOZI wa Kipanga FC umesema utautumia mchezo wa kirafiki dhidi ya Simba kama njia mojawapo ya maandalizi kuelekea mchezo wa raundi ya kwanza wa michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika. Kipanga...
Kipanga yafanya kweli CAF, yafuzu raundi ya kwanza KIPANGA ya visiwani hapa imekuwa timu ya kwanza ya Tanzania kusonga mbele kwenye michuano ya CAF, baada ya kuingoa Al Hilal Wau ya Sudan Kusini kwa mikwaju ya penalti 4-3 na kuifuata Azam FC...
KMKM kunogesha ubingwa, yaisubiri Mlandege kibabe UNGUJA. Baada ya kufanikiwa kuutetea ubingwa wa Ligi Kuu Zanzibar msimu huu, timu ya KMKM imejiapiza kunogesha sherehe zake kwa kuichapa Mlandege katika mchezo wake unaofuata. KMKM...
Walibya waichelewesha KMKM 10:15 jioni kwenye uwanja huo huo wa Amaan. IMEANDIKWA NA MOSI ABDALLA, UNGUJA
Manara avuruga mashabiki Unguja tutammisi,” Ali Juma na Haji Issa ambao ni mashabiki wa Simba walisema walikuwa wakivutiwa na kauli za Manara hususan akiwa anawatania watani zao, Yanga. “Hakuna binadamu ambaye hana upungufu hata...
ZFF yapata Rais mpya Wajumbe wa mkutano mkuu wa Shirikisho la Mpira wa miguu Zanzibar (ZFF) wamemchagua Abdul-latif Ali Yassin kuwa Rais wa shirikisho hilo kumalizia miaka miwili iliosalia.
ZFF yasimamisha ligi kumlilia Maalim Seif wataambiwa wasubiri hadi zimalize siku saba za maombolezo basi na Ligi Kuu nayo itaathirika kwani ilikuwa inatarajiwa kuanza duru la pili Febuari 20. Hata hivyo ameomba wadau wa soka visiwani hapa...
Kibadeni amsapraizi Senzo Bunju MTENDANI Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa amepata sapraizi ya aina yake baada ya kumshuhudia mfungaji pekee wa hat trick ya mechi ya watani, Abdalla Kibadeni na kusema amefurahi kumuona, kwani...