Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

698 results for Damian Masyenene :

  1. Songo, wenzake kutibu mtihani huu JKT Tanzania

    Mshambuliaji wa JKT Tanzania, Edward Songo amesema yeye na wenzake katika eneo la ushambuliaji wameshajua tatizo lililopo la ufungaji wa mabao ambalo benchi la ufundi limelifanyia kazi na sasa...

  2. Mastaa Pamba Jiji wamliza Minziro

    KATIKA mahojiano maalumu na Mwanaspoti, kocha mkuu wa Pamba Jiji, Fredy Felix 'Minziro' kafichua jambo ambalo liliiua timu yake dhidi ya Yanga jana katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, lakini akisema...

  3. Yanga yaendeleza dozi, yaifyatua Pamba Jiji

    YANGA ubingwa inautaka, baada ya kuifyatua Pamba Jiji kwa mabao 3-0, huku Bwana Harusi, Stephane Aziz Ki kufunga mara na nyota mpya wa timu hiyo, Jonathan Ikangalombo akicheza kwa mara ya kwanza...

    Haitanii Pict
  4. Minziro: Hatuhitaji kuchoma sindano kucheza mechi ngumu

    KOCHA Mkuu wa Pamba Jiji, Fred Felix 'Minziro' amesema kutokana na upana wa kikosi chake na ubora wa kila mchezaji baada ya usajili wa dirisha dogo hawahitaji kuwachoma sindano baadhi ya...

    Minziro Pict
  5. Miloud hataki kilichoikuta Simba

    Katika kuhakikisha kikosi chake kinaendelea kukaa kileleni kwa msimamo wa Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa Yanga, Hamdi Miloud amesema wamekuja Mwanza kwa ajili ya kushinda na kupata alama tatu na...

    Miloud Pict
  6. Pamba yakwepa mtego wa Yanga

    DOZI nene zinazoendelea kutolewa na Yanga katika mechi za Ligi Kuu Bara zimelishtua benchi la ufundi la Pamba Jiji ambalo limetangaza kujipanga mapema kukwepa mtego huo kwa kuzungumza mapema na...

  7. Minziro ashtukia jambo Ligi Kuu

    PAMBA Jiji gari limewaka baada ya kushinda mechi tatu mfululizo za Ligi Kuu Bara ikiwa ni rekodi kwa timu hiyo iliyorejea katika ligi hiyo baada ya miaka 23 tangu iliposhuka mwaka 2001, lakini...

    Minziro Pict
  8. Pamba hiyooo nafasi ya 10 ikiibamiza Coastal Union 2-0

    Hatimaye Pamba Jiji imeingia kwenye nafasi 10 za juu katika Ligi Kuu Bara msimu huu baada ya kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Coastal Union huku ikijihakikishia mamilioni ya bonasi.

    New Content Item (1)
  9. Vita mpya ya Stumai, Jentrix Ligi ya Wanawake

    VITA ya ufungaji bora wa Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) inazidi kupamba moto kati ya mastaa wawili, Stumai Abdallah ((JKT Queens) na Jentrix Shikangwa (Simba Queens) huku mbio zao zikikolezwa na...

  10. Siku 120 za maajabu ya Minziro Pamba Jiji FC

    FEBRUARI 17 kwa kocha Fred Felix ‘Minziro’ itakuwa ni miezi minne kamili ambayo ni sawa na takribani siku 120 ndani ya Pamba Jiji ya Mwanza tangu alipoteuliwa na kupewa majukumu Oktoba 17, 2024...

    Minziro Pict
Previous

Page 3 of 70

Next