SIO ZENGWE: Ubora ni uwanjani, si katika makaratasi TANGU Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) litangaze kuanzisha Ligi ya Mpira wa Miguu Afrika (AFL) kumekuwa na mijadala mingi kuhusu vigezo vinavyotumika kupata timu shiriki.
Yanga na vigogo Afrika njia moja YANGA imetinga kwa kishindo hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya juzi usiku kuendelea kupeperusha vyema Bendera ya Tanzania katika michuano hiyo kwa kuifumua CBE SA ya...
PRIME Ligi ya Mabingwa Afrika: Yanga mikononi mwa vigogo YANGA imetinga makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kishindo kwa msimu wa pili mfululizo ikiwa ni historia kwa klabu hiyo katika michuano hiyo ya CAF na sasa inasubiri kujua itapangwa na vigogo...
Hii ndio Simba tunayoitaka sasa HII ndio Simba tunayoitaka. Ndivyo baadhi ya kauli za mashabiki waliojazana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, wakati Simba ikiing’oa Al Ahli Tripoli ya Libya kwa mabao 3-1 na kutinga kibabe katika...
Kimenya aongeza idadi ya wastaafu Prisons IDADI ya wachezaji wa Tanzania Prisons kutamani kustaafu soka imeendelea kuongezeka baada ya Salum Kimenya, kuonesha nia ya kutundika daruga ili kugeukia shughuli nyingine nje ya uwanja.
Simba, Dodoma Jiji kupigwa Jamhuri HATIMAYE Uwanja wa Jamhuri, Dodoma umerejeshwa katika orodha ya viwanja vinavyotumika kwa michezo ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2024/2025, baada ya kufanyiwa maboresho katika maeneo ambayo...
PRIME JICHO LA MWEWE: Miaka 26 baadae, kutoka Mmachinga hadi Aziz Ki MIAKA 26 iliyopita, mwaka 1998 nilikatiza katika geti la Magharibi la Shule ya Sekondari ya Jitegemee kwenda uwanja wa zamani wa Taifa, (sasa Uhuru maarufu Shamba la Bibi) kushuhudia Yanga...
Kriketi T20: Tanzania yailiza Mali, Ghana Malawi safi INAWEZA ikaingia katika vitabu vya rekodi kama mechi rahisi kuliko zote Tanzania imewahi kushinda katika mchezo wa kriketi baada ya kuifunga Mali kwa wiketi 10 katika mchezo wa ufunguzi wa...
Mbeya City yaanza visingizio Championship SARE ya kufungana mabao 2-2, iliyoipata Mbeya City juzi dhidi ya Bigman FC katika mchezo wa Championship, imeonekana kuwavuruga vigogo wa timu hiyo huku kocha msaidizi, Baraka Kibingu akitoa...
Kwa Joh Makini hakuna mwingine kama Jide KABLA ya Joh Makini alitumia jina la Rapcha, na sasa ni miaka 18 tangu ametoka rasmi kimuziki na bado anaendelea kuwahudumia mashabiki wake kwa nyimbo kali za rap na maonyesho ya hapa na pale.