Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

24499 results for tanzania :

  1. Vigogo MZFA wakaliwa kooni, waitupia TFF msala

    BAADHI ya wadau wa soka jijini hapa wamemtaka Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Mwanza (MZFA), Vedastus Lufano kujiuzulu nafasi hiyo, huku wakiliomba Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)...

    MZFA Pict
  2. Vita Simba, Yanga imeanza kuchangamka

    LIGI Kuu Bara inazidi kuchangamka ambapo kwa muda mrefu pale kileleni hujaiona Simba, Azam wala Yanga ikikaa. Fountain Gate na Singida Black Stars zimekuwa zikipishana.

    Vigogo Pict
  3. Barka atwaa tuzo  ya Ballon d’Or

    KATIKA usiku uliojaa shamrashamra na vionjo vya burudani, Mtanzania Barka Seif Mpanda, ameandika historia baada ya kutwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka ya Ballon d’Or of the Champions Dream...

  4. Humoud apewa miwili Zambia

    Mtanzania Abdulrahim Humoud amesema ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kusalia Konkola Blades FC baada ya ule wa awali kutamatika msimu uliopita.

  5. Lina Tour yamuenzi Malinzi uswahilini

    Madina Idd, Hawa Wanyeche na Angel Eaton, ambao waliiwezesha Tanzania kushika nafasi ya pili mara mbili na nafasi ya tatu mara moja katika mashindano ya ubingwa wa Afrika nzima kwa wanawake,...

  6. Kumekucha CDF Trophy 2024

    MSIMU wa tisa wa mashindano ya Gofu ya Mkuu wa Majeshi Tanzania (NMB CDF Trophy 2024) utaanza Ijumaa ya wiki hii, huku wadhamini wakuu, Benki ya NMB ikitangazwa kumwaga Sh35 milioni.

  7. KICHUYA: Ile kona bao Yanga wala Sikudhamiria

    KICHUYA ni jina kubwa kwenye anga ya michezo nchini kutokana na winga Shiza Ramadhan ambaye kwasasa anakipiga JKT Tanzania kutambulika zaidi kwa jina hilo, lakini unaambiwa jina hilo ni la...

  8. Eto’o: Tanzania inastahili nne CAF

    RAIS wa Shirikisho la Soka la Cameroon (Fecafoot), Samuel Eto’o ambaye pia ni nyota wa zamani wa Barcelona, Chelsea na Inter Milan, ameeleza umuhimu wa kuboresha nafasi za timu za Afrika katika...

  9. Sunday Spesho ya Ligi Kuu Bara 2024/25

    HII ni siku spesho. Ndio, ni Sunday Spesho kwelikweli. Kwani kama wewe ni shabiki wa soka, basi leo hupaswi kuchezea rimoti kabisa. Yaani ukikaa mbele ya runinga leo hubanduki kitini hadi kesho...

    New Content Item (1)
  10. Mido Coastal Union aukubali mziki wa Aucho

    KIUNGO wa Coastal Union, Gift Abubakar amesema, mchezaji anayemvutia katika Ligi Kuu Bara ni kiungo nyota wa Yanga, Khalid Aucho.

Previous

Page 194 of 2450

Next