Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1182 results for Charles Abel :

  1. Lookman  mchezaji bora Afrika 2024

    Mshambuliaji wa Atalanta na timu ya taifa ya Nigeria, Ademola Lookmann leo, Desemba 16, 2024 ameibuka mshindi wa tuzo ya mchezaji bora Afrika 2024 ya shirikisho la mpira wa miguu Afrika (Caf)...

  2. AKILI ZA KIJIWENI: Karibu Dk Kabudi, Afcon 2027 isikwame

    MZEE wetu Profesa Palamaganda Aidan Kabudi ndiye bosi mpya wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo baada ya uteuzi na mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu...

    Kabudi Pict
  3. AKILI ZA KIJIWENI: KenGold itambeba au kumuangusha Kapilima

    KABLA ya kupewa fursa ya kuifundisha Ken Gold FC, Omary Kapilima hakuwahi kuhudumu kama kocha mkuu wa timu yoyote inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara.

    Kapilima Pict
  4. AKILI ZA KIJIWENI: Yanga, Simba inawezekana hata Algeria

    KESHOKUTWA kuanzia saa 4:00 usiku tutakuwa bize hapa kijiweni tukitazama mechi ya wawakilishi wetu wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga dhidi ya MC Alger itakayochezwa jijini...

    Algeria Pict
  5. AKILI ZA KIJIWENI: Kijiwe kimembariki Yondani Pamba

    IWE ni umri sahihi au sio sahihi, wote tunakubaliana kwamba Kelvin Yondani 'Vidic' ni mtu mzima hasa kwenye Ligi yetu ya Tanzania Bara ukilinganisha na mabeki wengi wa kati.

    Yondani Pict
  6. AKILI ZA KIJIEWENI: Fountain Gate isirudie hadithi ileile

    TIMU ambayo ilianza kuleta imani kubwa kijiweni msimu huu ni wazee wa ugali, Fountain Gate ambayo inacheza mechi zake za nyumbani za Ligi Kuu katika Uwanja wa Tanzanite Kwaraa kule Babati.

  7. AKILI ZA KIJIWENI: Yanga wanatakiwa kuonyesha ukomavu

    MASHABIKI wa Yanga wengi wanaonekana kwa tabu sana hapa kijiweni na wachache wenye nyoyo ngumu wamekuwa wanyonge sana sababu ya yote ni vipigo vitatu mfululizo ambavyo timu yao imepata.

  8. AKILI ZA KIJIWENI: Camara kipa acha Simba itambe

    SIKU ile ambayo Simba ilifungwa bao 1-0 na Yanga kwenye Ligi Kuu, kipa Moussa Camara alilaumiwa sana kaifungisha kisa mpira aliotema uliunganishwa na Mudathir Yahya na kuipa bao pekee la ushindi...

  9. Twiga Stars mdomoni mwa vigogo Wafcon 2024

    Timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania 'Twiga Stars' imeangukia katika kundi C la fainali za mataifa ya Afrika kwa wanawake (Wafcon) 2024 zitakazofanyika Morocco mwakani, ambalo linaundwa na timu...

  10. Mkono na wenzake waula Caf

    Refa msaidizi wa kimataifa wa Tanzania, Mohammed Mkono ni miongoni mwa waamuzi wanne wa Tanzania walioteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (Caf) kuchezesha mechi ya kuwania kufuzu...

    Mkono Pict
Previous

Page 20 of 119

Next