Kapombe huyo Okrah hatari NAHODHA msaidizi wa Simba, Shomary Kapombe amesema uwezo alionyesha Augustine Okrah katika kambi hiyo ya timu hiyo inakwenda kuwa staa mpya ndani ya kikosi chao msimu ujao.
Ndemla anogewa kambini Big Stars KIUNGO mpya wa Singida Big Stars, Said Ndemla amesema amefurahishwa na mwanzo wa maisha mapya klabuni hapo ikiwamo maandalizi ya kikosi kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara. Ndemla alisema...
Ouattara ampa akili mpya Zoran BEKI mpya wa kati Simba, Mohamed Ouattara juzi alicheza katika mechi ya kirafiki dhidi ya Al Akhdood na Simba kushinda mabao 6-0 na kumpasua kichwa kocha Zoran Maki ambaye amepata akili mpya ya...
Zoran ashikilia mafaili matatu Simba NYOTA wa Simba wanaendelea kujifua kambini nchini Misri, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Zoran Maki akiwa ameshikilia mafaili ya nyota watatu wa kigeni kwa ajili ya kusalia kikosini msimu ujao.
Mugalu: Mjipange narudi upya STRAIKA wa Simba, Chris Mugalu hakuwa na bao hata moja msimu uliopita wa Ligi Kuu Bara, licha ya kupata nafasi za kucheza. Aliposajiliwa Simba kabla ya msimu uliopita aliweka rekodi ya kumaliza...
Chama achimba mkwara KIUNGO fundi wa Simba, Clatous Chama amesema msimu ujao analenga kupambana zaidi ili kuisaidia timu kushinda kila mechi kufikia mafanikio waliyojipangia. Chama alisema wakati anaondoka Simba...
Zoran mzuka umepanda Misri KOCHA Zoran Maki juzi aliishuhudia timu yake kwa mara ya kwanza ikicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Ismaily ikiwa kambini Ismailia, Misri na kuvutiwa na soka tamu lililopigwa na vijana wake, huku...
Okrah aikamua Simba Sh460 milioni, aliikacha Yanga MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’ na Mjumbe wa Kamati ya Usajili, Crescentius Magori kwa pamoja walifunga safari hadi Ghana ili kumsajili kiungo mshambuliaji...
Okwa atua na mzuka Simba KIUNGO mpya wa Simba, Mnigeria Nelson Okwa wikiendi iliyopita aliiaga timu aliyokuwa akiichezea ya Rivers United kibabe kwa kuiongoza kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu, kisha mapema anaanza mchakato wa...
Kambi Simba yazidi kunoga, kocha mpya kutua wiki hii Misri KABLA ya wiki hii kumalizika katika kambi ya Simba kocha mpya wa viungo, Mtunisia Karim Sbai atawasili kwenye kambi ya timu hiyo iliyopo, Ismailia Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu...