Rekodi ya ugenini Prisons yamtesa Josiah KOCHA wa Tanzania Prisons, Amani Josiah amesema ana kazi ya kufanya katika kikosi hicho ili kukifanya kilete ushindani msimu huu, huku akidai rekodi ya michezo ya ugenini inamtesa, jambo...
Singida BS yaleta fundi Mhispania, Tambwe akipewa umeneja SAA chache tangu ilipotoka kucheza na Yanga na kupoteza kwa mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, mabosi wa Singida Black Stars umemtangaza kumshusha fundi kutoka Hispania, Juan Carlos Magro...
Janja ya Pamba Jiji iko hapa Momanyi ametokea Shabana FC ya kwao Kenya, huku kwa upande wa Camara akijiunga na kikosi hicho kwa mkopo kutoka Singida Black Stars, alichojiunga nacho Agosti 14, mwaka jana, ila alishindwa...
KenGold, Kagera Sugar vita nzito Bara LIGI Kuu Bara inaendelea kupigwa tena leo kwa michezo mitatu katika viwanja na mikoa mbalimbali na itaanzia jijini Mbeya na Dar es Salaam kwa mechi za 10:00 jioni, huku saa 1:00 usiku ikichezwa...
Kocha wa maafande acharuka KOCHA wa maafande wa Polisi Tanzania, Mussa Rashid amewaonya mastaa wa timu hiyo kuacha tabia ya kudharau wapinzani wao, kwa sababu kwa kufanya hivyo inawaweka katika mazingira magumu ya...
PRIME Ahoua asaka rekodi mpya Ligi Kuu Mnyama Simba kwa sasa ni kama kajipata na licha ya kuachwa pointi moja na watani zao wa jadi wanaokimbizana nao kwenye kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, imesaliwa na mechi moja mkononi...
Nne tangu 2025 hazijashinda Ligi Kuu USISHANGAE bwana! Ndivyo ukweli ulivyo, timu za Mashujaa, JKT Tanzania, Fountain Gate na Dodoma Jiji zilizopo ligi Kuu Bara, hazijaonja ushindi tangu mwaka 2025 ulipoingia.
Maajabu mawili bao la Zidane Azam NYOTA mpya wa Azam FC, Zidane Sereri amefungua ukurasa wa mabao ndani ya kikosi hicho baada ya kutupia bao moja katika ushindi wa 2-0, dhidi ya maafande wa Mashujaa, huku kukitokea maajabu mawili...
Simchimba ajichomoa mbio za ufungaji Championship MSHAMBULIAJI wa Geita Gold, Andrew Simchimba amesema licha ya kasi yake katika kufunga mabao akiwa na kikosi hicho msimu huu, ila hana malengo ya kutwaa kiatu cha ufungaji bora, zaidi ya kutaka...
Matata hakijaeleweka Transit Camp KOCHA wa Transit Camp, Stephen Matata amesema ana kazi kubwa ya kufanya ndani ya timu hiyo baada ya kushuhudia akipoteza michezo mitatu mfululizo tangu ateuliwe kukiongoza kikosi hicho Januari...