AKILI ZA KIJIWENI: Jibu la Chalamanda ni rahisi sana MDAU mmoja hapa kijiweni amehoji kwa nini kipa wa Kagera Sugar, Ramadhan Chalamanda kaitwa katika kikosi cha timu ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ kitakachocheza kwenye Kombe la Mapinduzi.
Arajiga, Komba waula Chan 2025 Ahmed Arajiga na Frank Komba ni miongoni mwa marefa 63 walioteuliwa katika orodha ya awali ya waamuzi watakaofanyiwa mchujo wa kuchezesha fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza...
Adhabu zaipa bodi ya ligi Sh10.5 milioni Adhabu mbalimbali zilizotolewa na kamati ya uendeshaji na usimamizi ya bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kuvuna Sh10.5 milioni.
AKILI ZA KIJIWENI: Vita ya mastraika Ligi Kuu sio mchezo MSIMU uliopita nyota wawili wanaocheza nafasi ya kiungo, Feisal Salum na Stephane Aziz Ki ndio walishindana katika kuwania ufungaji bora wa Ligi Kuu.
AKILI ZA KIJIWENI: Simkoko, Mwambusi na sasa Ahmad Ally MIAKA ya 2000, mwanaume mmoja aliibuka akiwa na timu ya mkoani na kuzipasua kichwa timu mbili kongwe za Simba na Yanga na akafanikiwa kutwaa kombe la ligi mbele yao.
AKILI ZA KIJIWENI: Siri ya watoto wa Morogoro ni hii VIJANA wa Morogoro hivi sasa wamezikamata Simba na Yanga kutokana na viwango bora wanavyovionyesha katika vikosi vya timu hizo ambavyo vimewawezesha kupata namba vikosini.
PRIME Camara akwepa mtego Kitendo cha Fadlu kubadilisha kikosi mara kwa mara huku akionekana kuendelea kufanya vizuri, kimekuwa kikiwapa wakati mgumu wapinzani wake kushindwa kumsoma jambo linalompa faida.
AKILI ZA KIJIWENI: Wachungaji wajiandae kupokea wachezaji KILICHOTOKEA katika siku hizi za karibuni kinaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kubadilisha mitazamo na fikra za wachezaji wetu.
AKILI ZA KIJIWENI: Tunamsubiria kwa hamu Ellie Mpanzu TULISIKIA na kuyasoma mengi kuhusu winga Ellie Mpanzu hasa kuhusu sifa zake pindi awapo uwanjani wakati huo akiichezea AS Vita Club ya DR Congo hasa uwezo wake wa kupiga pasi za mwisho na kufunga...
AKILI ZA KIJIWENI: KenGold kipa wanaye, bora anajipambania KIPA wa Kengold, Castor Mhagama ametuthibitishia hapa kijiweni ule usemi wa Mungu hakupi vyote au Mungu akikupa kilema, basi anakupa mwendo.