Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

751 results for Nevumba Abubakar :

  1. Kapo ya Aziz KI, Hamisa Mobeto yawania tuzo

    SIKU chache baada ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz KI kufunga ndoa na mwanamitindo, Hamisa Mobetto kapo yao imewekwa kuwania tuzo.

    Aziz Pict
  2. Mgosi aitabiria Simba, Edna apatwa kigugumizi

    MASHABIKI wa soka nchini wanahesabu saa tu kwa sasa kabla ya Yanga na Simba kushuka uwanjani kesho Jumamosi katika pambano la duru la pili la Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

    MGOSI Pict
  3. Arajiga kuamua Dabi ya Kariakoo, rekodi zake zipo hivi

    WAKATI zikisalia siku tatu kabla ya mtanange wa watani wa jadi, Yanga dhidi ya Simba kupigwa, Kamati ya Waamuzi imemteua Ahmed Arajiga kutoka Manyara kuwa mwamuzi wa kati kuamua mchezo huo.

  4. Kiwango cha Samatta PAOK moto!

    KWA kiwango anachoonyesha Mbwana Samatta katika Klabu ya PAOK kule Ugiriki ni kama kinawapa mtihani viongozi kuamua hatima yake kutokana na mkataba wake kukaribia mwisho.

    Samatta Pict
  5. Bien anavyotoa somo kwa Wabongo

    MMOJA wa wasanii wanaotamba kwa sasa kwenye muziki Afrika ni Bien wa Kundi la SautiSol la Kenya. Moja ya sifa anazopewa kumhusu, ni uwezo wake wa kufanya shoo za jukwaani kwa maana ya 'live...

    BIEN Pict
  6. Arajiga, Kayoko wapigwa msasa wa VAR

    WAAMUZI 20 wakiwamo maarufu kama Ahmed Arajiga, Herry Sasii, Ramadhani Kayoko na Tatu Malogo, wanatarajiwa kuingia darasani kuanzia kesho Jumatatu kwa ajili yua kupigwa msasa juu ya teknolojia ya...

    VAR Pict
  7. WPL kuipisha Samia Women Super Cup

    LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) inatarajiwa kusimama kwa takriban wiki moja kupisha michuano ya Samia Women Super Cup inayotarajiwa kuanza kesho, kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha.

    WPL Pict
  8. Mechi mbili kuamua hatma ya Samatta PAOK

    CHAMA la Mtanzania, Mbwana Samatta limebakiza mechi mbili za kuamua hatma ya kucheza michuano ya Ulaya msimu ujao, ikisaka kumaliza katika nne bora Ligi Kuu ya Ugiriki 'Super League' msimu huu.

    Samatta Pict
  9. Fountain Gate Princess inataka mechi tano

    FOUNTAIN Gate Princess iliyopo nafasi ya sita kwenye msimamo wa Ligi Kuu imesema kwa iliko sasa, inahitaji kushinda mechi tano tu ili kujihakikishia kuwa katika nafasi nne za juu.

    FGP Pict
  10. Gomez aletewa mtu Wydad AC

    WYDAD AC inaripotiwa kutaka kumsajili mshambuliaji wa Orlando Pirates ya Afrika Kusini, Relebohile Mofokeng nafasi anayocheza pia Mtanzania Selemani Mwalimu 'Gomez' aliyetambulishwa mwezi...

    Gomez Pict
Previous

Page 18 of 76

Next