Irine Uwoya agoma kuacha vimini IRINE Uwoya amesema hawezi kuacha kuvaa nguo fupi kwavile amezoea kufanya hivyo na hajaanza baada ya kuwa staa wa filamu.
Stars waonja fitina za Waarabu TAIFA Stars ambayo jana usiku ilikuwa ikichuana na wenyeji wao, Algeria ilijikuta ikikabiliana na fitina za Waalgeria baada ya basi lao kutelekezwa na dereva wake kutoweka akiacha mlango wazi na...