Nyankumbu, Manungu Complex pamoto VIWANJA viwili vya Nyankumbu na Manungu Complex vinavyotumiwa na Geita Gold na Mtibwa Sugar vimekuwa ni mwiba mkali kwa wapinzani wanaotembelea hapo, kwani hadi sasa timu hizo hazijapoteza mchezo...
Uledi ajitafuta upya Chama la Wana NYOTA wa Stand United 'Chama la Wana', Adam Uledi amesema hajutii kitendo cha kutoka kuichezea Ligi Kuu Bara na kuhamia Championship na kwake kambi ni kokote katika kujitafuta upya ili kuendeleza...
Straika Mbuni FC atafuta rekodi Championship MSHAMBULIAJI wa Mbuni, Naku James amesema moja ya malengo yake makubwa aliyojiwekea katika ligi hii ya Championship ni kuivunja rekodi ya mabao aliyoyafunga msimu uliopita, sambamba na...
Zanda amkosha Katwila Bigman FC KIWANGO kizuri kinachoonyeshwa na mshambuliaji mpya wa Bigman FC, Said Zanda kimemwibua kocha mkuu wa timu hiyo, Zubery Katwila aliyekiri kuridhishwa sana na usajili wake, ambao umeleta manufaa...
Mechi tatu zamshtua Mkongomani Tabora United KOCHA wa Tabora United, Mkongomani Anicet Kiazayidi amesema ana kazi kubwa ya kufanya katika michezo ya mzunguko huu wa pili, baada ya kutoka sare ya bao 1-1, ugenini juzi dhidi ya Tanzania...
Championship bado vita ni nzito BAADA ya jana kushuhudia michezo miwili ya Ligi ya Championship, kipute hicho kitaendelea tena leo kwa mingine mitatu kupigwa kwenye viwanja mbalimbali, ikiingia mzunguko wake wa 20, kwa lengo la...
PRIME Kwa Simba hii, ukijichanganya inakula kwako! KUWENI makini! Ndivyo unavyoweza kusema kwa timu pinzani pale zinaposhuka uwanjani kucheza na Simba, kwani zikijichanganya kidogo tu zijue mapema inakula kwao mapema.
Ile mishuti ya Ulomi sio ya bahati mbaya HIVI unayafuatilia mabao anayofunga mshambuliaji wa Mashujaa, David Ulomi? Hadi sasa nyota huyo ana mabao manne na yote yanafanana, licha ya kuyafunga kwa timu mbili tofauti na mwenyewe akifichua...
PRIME Kwa timu hizi... Simba ijipange CAF, ugumu uko hapa KIKOSI cha Simba jana jioni kilikuwa uwanjani kuvaana na Namungo katika mechi ya Ligi Kuu Bara, lakini leo masikio na macho itakaelekeza mjini Doha, Qatar kwa ajili ya kufuatilia droo ya mechi za...
Ahoua aipa Simba pointi tatu, penalti, kadi nyekundu zazua mjadala MABAO mawili ya kiungo wa Simba, Jean Charles Ahoua yote yakiwa ya mikwaju ya penalti katika dakika ya tano ya nyongeza ya kipindi cha kwanza na 72, na moja la Mganda Steven Mukwala katika...