Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

971 results for Oscar Oscar :

  1. PRIME UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Nawaona Yanga wakileta kombe la CAF

    PENGINE sio msimu huu wala msimu ujao, lakini unaanza kuona dalili za timu inayopiga hatua kwenda mbele. Kitendo cha Yanga kucheza fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu uliopita hakikuwa...

  2. PRIME UCHAMBUZI: Bado Simba ina nafasi kufuzu

    SIMBA jana ililazimisha sare ya mabao 2-2 ugenini mbele ya wenyeji Power Dynamos mjini Ndola, Zambia kazi kubwa ikifanywa na Clatous Chama aliyefunga mabao mawili na kuiweka katika nafasi nzuri...

  3. PRIME UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Tumefuzu Afcon, lakini hatuna raha!

    Kumbukumbu zitaendelea kuonyesha Taifa Stars imefuzu Kushiriki michuano ya AFCON mara tatu. Historia itaendelea kutulinda na kutuheshimu kama Taifa lilofuzu Kushiriki michuano ya Mataifa ya...

  4. Wadau wafunguka kuzisaidia Simba, Yanga na Singida FG kimataifa

    , mbali na mastaa bora ila hata suala la viongozi tunahitaji wenye maono na soka," amesema "Simba na Yanga zimejitahidi sana kwenye usajili wao msimu huu japo kwa Singida Big Stars licha...

  5. PRIME UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Ametoka Nabi, ameingia Nabi

    HAKUNA kitu kilikuwa kinaleta sintofahamu pale Yanga kama kuondoka kwa mshambuliaji Fiston Mayele na kocha Nasredine Nabi. Wengine wote wangeweza kuondoka tu na hakuna ambaye angejali, sio Nabi...

  6. PRIME UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Unamjua mchawi wa Azam FC!

    HAKUNA kitu Azam FC hawajawahi kufanya. Hakuna. Wamewahi kusimamisha wachezaji wao, kuleta wataalamu wote kutoka Hispania, wamechukua wachezaji kutoka Yanga na Simba. Hakuna utofauti...

  7. PRIME Dirisha linafungwa waliosajiliwa ni hawa hapa

    Figueiredo (haifahamiki), Shafik Batambuze (haifahamiki), Pascal Wawa (haifahamiki) na Amissi Tambwe (haifahamiki). TZ PRISONS WALIOINGIA Salum Kihimbwa (Mbeya City), Messi Atangana Roland...

  8. PUMZI YA MOTO: Sheria zetu za CAF, TFF zinaturudisha nyuma

    wa miguu. Mwalimu wao ni Oscar Mirambo, yule kocha wa Serengeti Boys iliyofeli nyumbani 2019. Hawa makocha wakihitimu ndiyo watapewa leseni zitakazokuwa juu ya leseni za UEFA zinazotolewa...

  9. UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Kwa Tabora United tungekwepa aibu hii

    Ligi Kuu Tanzania Bara kwa sasa ndiyo ligi Bora kwenye ukanda wote huu wa Cecafa. Afrika Mashariki inabebwa na ligi yetu. Ndiyo ligi yenye ushindani kuliko nyingine yoyote. Ndiyo ligi yenye...

  10. PRIME Ponapona ya Bocco iwe haramu kwake

    mchezaji,” anahoji Haule. Beki wa Mtibwa Sugar, Oscar Masai anasema kati ya washambuliaji anaowahofia wakati wa mechi dhidi ya Simba ni Bocco kutokana na kutumia akili kubwa anapolisogelea...

Previous

Page 17 of 98

Next