Sababu tatu za ushindi Yanga Yanga kwa namna yoyote ile inatakiwa kupata ushindi katika mechi yake ya mwisho ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya MC Alger leo katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, kuanzia saa...
PRIME Simba katika mtego wa vigogo CAFCC KIKOSI cha Simba kinaendelea na maandalizi ya mwisho kabla ya kushuka uwanjani kukabiliana na CS Constantine ya Algeria katika mchezo wa Kundi A la Kombe la Shirikisho Afrika, huku ikijaribu...
AKILI ZA KIJIWENI: Labda Mapinduzi Cup itamfufua Hilika UKIENDA kule Visiwani Zanzibar, mshikaji wetu Ibrahim Hamad ‘Hilika’ ni staa mkubwa sana na mashabiki wa soka pale huwaambii kitu kuhusu jamaa.
AKILI ZA KIJIWENI: Taifa Stars imemheshimisha Ngassa Caf JANA Tanzania imewakilishwa vyema na staa wa zamani wa Taifa Stars, Mrisho Ngassa kule Nairobi, Kenya kulikokuwa na droo ya fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (Chan) 2024.
AKILI ZA KIJIWENI: Che Malone ajitathmini vinginevyo BEKI wa kimataifa ambaye timu inatumia gharama kubwa za fedha kumleta hapa nchini kisha kumhudumia, hatakiwi kufanya makosa ya kizembe ambayo yana athari kwa timu yake.
Taifa Stars yapewa kundi laini Chan 2024 Tanzania imepangwa katika kundi B la mashindano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (Chan) 2024 zitakazofanyika Agosti mwaka huu ambalo litaundwa na timu za Mauritania, Madagascar...
Tanzania ilivyojipanga mashindano ya Chan Kamati ya ndani ya Tanzania ya maandalizi ya fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani (Chan) 2024 imesema kuwa Tanzania iko tayari kuandaa fainali hizo mwezi ujao
PRIME Yanga kuipiku Simba Afrika, MC Alger kuamua Jumamosi YANGA ikitinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, itaua ndege wawili kwa jiwe moja.
Tanzania ilivyojiandaa mashindano ya Chan KAMATI ya ndani ya Tanzania ya maandalizi ya fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani (Chan) imesema kuwa Tanzania iko tayari kuandaa fainali hizo mwezi ujao.
PRIME Hiki hapa kinachozibeba Simba, Yanga Caf SIMBA juzi ilitinga robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kutoka sare ya bao 1-1 ugenini dhidi ya Bravos ya Angola huku Yanga ikijiweka katika nafasi nzuri ya kutinga hatua hiyo...