Mwalwisi arejesha majeshi Mbeya Kwanza ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa TMA, Maka Mwalwisi amerejea kukifundisha kikosi cha Mbeya Kwanza katika michezo iliyobakia, akichukua nafasi iliyoachwa na Emmanuel Masawe aliyeanza nacho msimu huu wa...
Ukame wa mabao wamliza Kipenye MSHAMBULIAJI wa Songea United, Cyprian Kipenye amesema anajisikia vibaya kutokana na ukame wa mabao unaomwandama katika kikosi hicho, licha ya kushukuru benchi la ufundi kwa kuendelea kumuamini...
Mashabiki kama kawa kwa Mkapa, shabiki Simba ataka sheria kali LICHA ya kugubikwa na sintofahamu ya kuchezwa mwa mchezo wa Kariakoo Dabi kati ya wenyeji Yanga na Simba, mashabiki wa timu hizo wameendelea kujitokeza kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa ilipopangwa...
PRIME Dabi ya Kariakoo, mzani upo upande huu MASHABIKI wa Yanga na Simba wanaendelea kusubiri kuona ni kitu gani kitatokea kabla ya timu hizo kushuka katika pambano la Ligi Kuu lkwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, leo.
Yanga yaipiga bao Simba WAKATI ikibaki siku mbili kabla ya Yanga na Simba kukutana katika pambano ya Ligi Kuu Bara litakalopigwa Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, rekodi zinawabeba zaidi watetezi hao tofauti...
PRIME SUPER SUB: Nyota wanaoweza kubadili mchezo wa dabi JOTO la mpambano wa kusisimua wa Dabi ya Kariakoo, kati ya Yanga dhidi ya Simba linaendelea kupamba moto kwa mashabiki wakati wakihesabu siku mbili kabla ya mchezo unaopigwa keshokutwa, Jumamosi...
Coastal Union na mzimu wa hat trick Bara MTAMBO wa kuzalisha hat trick. Ndivyo unavyoweza kusema kwa Coastal Union kutokana na kuwa na rekodi ya kupigwa hat trick katika mechi zake kadhaa, ikiwamo ya juzi ilipovaana na Simba katika Ligi...
Championship pameanza kuchangamka PAMEANZA kuchangamka! ndivyo unavyoweza kusema katika Ligi ya Championship baada ya kubakisha michezo tisa kwa kila timu kuhitimisha msimu huu, huku vita kubwa ikitanda maeneo yote, hususani ile...
PRIME Dabi ya moto, Miloud aitengea Simba siku mbili YANGA ilirejea Dar es Salaa jana ikiwa na vaibu baada ya kuwafunga Pamba Jiji kwao, Mwanza kwa kipigo cha mabao 3-0, lakini mambo kwa sasa ni Dabi ya Kariakoo inayotarajiwa kupigwa Jumamosi ijayo...
Bwenzi aanza tambo Bara KenGold NYOTA wa KenGold, Selemani Bwenzi amesema licha ya kikosi hicho kuendelea kusalia mkiani mwa Ligi Kuu Bara na pointi 15, lakini kuna matumaini makubwa ya kukinasua na janga la kushuka daraja...