Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

701 results for Damian Masyenene :

  1. Kitambi aisikilizia Geita Gold

    KOCHA Mkuu wa Geita Gold iliyoshuka kwenda Ligi ya Championship, Denis Kitambi amesema hatima yake itaamuliwa na bodi ya timu baada ya kufanya tathmini ya kumalizika msimu, huku akichomoa kueleza...

  2. Bosi Singida FG afunguka ishu ya Kakolanya, Kagoma

    ZIKIWA zimepita siku 44 tangu kipa wa Singida Fountain Gate, Beno Kakolanya adaiwe kutoroka kambini huku kukiwa na ukimya juu ya hatima yake, rais wa klabu hiyo, Japhet Makau amefunguka...

  3. Kitambi aanika tatizo Geita Gold

    HATMA ya Geita Gold kubaki Ligi Kuu msimu huu iko shakani kwani inalazimika kuifunga Azam FC keshokutwa iwapo haitaki kushuka daraja moja kwa moja na badala yake iangukie play-off, huku Kocha...

  4. Simba Mwanza watoa msimamo kwa MO, Try Again

    BAADHI ya mashabiki wa Simba jijini Mwanza wametoa msimamo wao kwa kusema hawana tatizo na timu kukosa mataji na kushindania nafasi ya pili Ligi Kuu msimu huu, lakini wakawapa mtihani Rais wa...

  5. Mwadui yarejea Championship, Copco ndo basi tena

    Mwanza. TIMU ya Mwadui FC imefanikiwa kupanda daraja kwenda Championship baada ya kuifunga Copco FC kwa jumla ya mabao 5-2 kwenye mchezo wa mtoano (play off) kusaka nafasi ya kupanda na kubaki...

    New Content Item (1)
  6. Dabo aitumia salamu Yanga fainali FA

    BAADA ya kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho, Kocha wa Azam, Youssouph Dabo amesema kazi bado haijaisha kwani msimu huu wanalitaka kombe la michuano hiyo.

  7. Mkenya ashangazwa na kipigo, aipania ligi

    Kocha Mkuu wa Coastal Union, David Ouma amesema ameshangazwa na matokeo waliyopata dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Kombe la Shirikisho (FA), akieleza kuwa ni muda mrefu tangu kuruhusu idadi...

  8. Azam yatangulia kibabe fainali FA, yazisubiri Yanga, Ihefu

    AZAM FC imetangulia kwenda fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) baada ya kuichapa Coastal Union mabao 3-0 kwenye mchezo wa nusu fainali uliopigwa leo Jumamosi kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini...

    New Content Item (1)
  9. Coastal, Azam nusu fainali ya kibabe FA

    KESHO mchezo wa nusu fainali ya kwanza Kombe la Shirikisho utachezwa katika Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza kati ya Coastal Union dhidi ya Azam FC, huku vita kubwa ikiwa ni kusaka nafasi ya...

  10. Bosi: Tatizo Geita Gold ni wachezaji

    MKURUGENZI wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Yefred Myenzi amesema timu hiyo kutofanya vizuri kwenye Ligi Kuu na kuwaweka kwenye presha ni kutokana na usajili mbovu wa wachezaji.

Previous

Page 16 of 71

Next